Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Uhamiaji wapo vizuri sana mkuu.

Takukuru ndio taasisi ambayo inaongoza kwa watu kuhama,Mpaka ikafikia kipindi wakaweka limit ya miaka 5 ndio mtumishi anatakiwa ahame badala ya 3.

Mkuu, kumbe majeshi wanaweza kuhama?

Nikajua ukiingia mfano; PT au UT ndo mazima huwezi kuhama tena!
 
Noma na nusu[emoji1]

po labda zile rank za juu na kwa maelekezo rasmi ya Amiri Jeshi Mkuu.
Jamaa angekua msomaji mzuri wa vitabu vya ujasusi na upelelezi asingeshangaa mtu kuhama kutoka jeshi moja kwenda jingine...
 
Vijana sijui kama mtapiga usaili magereza[emoji3][emoji1787] inawezekana majina yakatoka mkaunga moja kwa moja kwa wenzenu

Ila hatujui ngoja tuone
Kwamba wakaunga moja kwa moja bila usaili,hakuna jeshi la hovyo hivyo hata wakati was vita Askari wakipelea wakahitajika raia watafanyiwa usaili na watu watachujwa sembuse ajira za mkakati mkuu, mambo ni magumu watu hawajui tu na wanaojua hawasemi
 
Jamaa angekua msomaji mzuri wa vitabu vya ujasusi na upelelezi asingeshangaa mtu kuhama kutoka jeshi moja kwenda jingine...
Sio kua Askari anahama anapewa mazingira yakufanana na kazi kama ya kitengo chochote kile(target) inayotakiwa kufanyiwa kazi,Sasa ukimkuta anauza machungwa utasema amehama kwenda kwenye machungwa😂😂😂
 
Jamaa angekua msomaji mzuri wa vitabu vya ujasusi na upelelezi asingeshangaa mtu kuhama kutoka jeshi moja kwenda jingine...

Hakika mkuu!

Tupe list ya vitabu kama itakupendeza walau viwili vitatu tuongeze maarifa kwa upande huo.
 
Hakika mkuu!

Tupe list ya vitabu kama itakupendeza walau viwili vitatu tuongeze maarifa kwa upande huo.
Ninavyo vya softcopy vingi kuliko hardcopy
VYa kijasusi na upelelezi
Si umeshaSoma vya Musiba(willy gamba) na Japhet nyang'oro sudi?
 
Sio kua Askari anahama anapewa mazingira yakufanana na kazi kama ya kitengo chochote kile(target) inayotakiwa kufanyiwa kazi,Sasa ukimkuta anauza machungwa utasema amehama kwenda kwenye machungwa😂😂😂
Unawajua auxiliary police wale wa miaka 1990..achana na hawa wa siku hizi??
 
Kwa askari wa kawaida kuhama majeshi hyo haipo.
Sio kua Askari anahama anapewa mazingira yakufanana na kazi kama ya kitengo chochote kile(target) inayotakiwa kufanyiwa kazi,Sasa ukimkuta anauza machungwa utasema amehama kwenda kwenye machungwa😂😂😂
 
Hivi vile vyeo kwa mfano ndo unaingia jeshini kwa fani, unaanza na nyota moja au bila cheo chochote?

Na kama unaanza bila cheo vinakua vinapanda kila baada ya muda gani? au havina muda maalumu?
[emoji28][emoji28]we jamaa ni fresh graduate nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…