MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Vijana sijui kama mtapiga usaili magereza[emoji3][emoji1787] inawezekana majina yakatoka mkaunga moja kwa moja kwa wenzenuTrue story kaka[emoji23]!! Watoe tu au ukute watu wamepigiwa simu na hawasemi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hatujui ngoja tuone