Zafrain sag
JF-Expert Member
- Sep 14, 2019
- 238
- 354
Magereza sina watu hukohZafrain sag kuna nini uko kinaendelea?
Anha!! Sawa mkuu..Ila JWTZ as i said previously mwezi huu mwishoni wataanza kuita watu let's be patient wakuu
Ahaa sawa mkuuIla JWTZ as i said previously mwezi huu mwishoni wataanza kuita watu let's be patient wakuu
[emoji23][emoji23]vp kwa walio anza interview leo huko magerez n oral au written wakuu
Haya mambo ni magumu sana mkuu imefikia wakati nimeanza kuwaelewa wale ambao ukiwauliza habari za majeshi wanakushauri uachane nayo utafute mambo mengine Kuna mambo mengi sana yanakatisha tamaa
Usaili Magereza ni oral na written kwa wenye taaluma. Na vipimo vingine kama ilivyo kawaida ya majeshi. Baadhi ya vijana wameanza leo, kesho usaili utaendelea.Wadau hivi hizi sahili huwa za oral au wtitten
Kwa wale mafundi, madereva na wengine wenye utaalamu usaili ni kwa vitendo zaidi.Usaili Magereza ni oral na written kwa wenye taaluma. Na vipimo vingine kama ilivyo kawaida ya majeshi. Baadhi ya vijana wameanza leo, kesho usaili utaendelea.
And kwa wenye taaluma wanakuuliza maswali about taaluma yako au wanauliza ya kwao ya kuhusu magereza yaoUsaili Magereza ni oral na written kwa wenye taaluma. Na vipimo vingine kama ilivyo kawaida ya majeshi. Baadhi ya vijana wameanza leo, kesho usaili utaendelea.
Weka nguvu kote chief
Wanachanganya,hasa taaluma yako inahusiana na nn huko katiAnd kwa wenye taaluma wanakuuliza maswali about taaluma yako au wanauliza ya kwao ya kuhusu magereza yao
Mostly kwenye written ni taaluma yako, hata kwenye oral ni taaluma ingawa sio kwa muda mrefu. Unapimwa vitu vingi pale, kwenye taaluma unaweza ukaulizwa kiswali kimoja then unaambiwa uendeAnd kwa wenye taaluma wanakuuliza maswali about taaluma yako au wanauliza ya kwao ya kuhusu magereza yao
Na walivyo wengi huo mda wa kuwauliza maswali mengi watoe wapi kuna kuchoka aiseeMostly kwenye written ni taaluma yako, hata kwenye oral ni taaluma ingawa sio kwa muda mrefu. Unapimwa vitu vingi pale, kwenye taaluma unaweza ukaulizwa kiswali kimoja then unaambiwa uende
Yeah sure. Ila vijana wasiwe na Matumaini makubwa sana wakaacha na kujaribu sehemu zingine. Nafasi ni chache.Na walivyo wengi huo mda wa kuwauliza maswali mengi watoe wapi kuna kuchoka aisee
Hahaha!!! Hizo ni kazi za kizalendo mishara ni midogo sana. Kufananisha na hali ya maisha ya sasa!! Anyway, kama umeitwa kwenye usail kapige tu mkuuMshahara wa askari magereza Tsh ngapi?
Si vyema sana kuuuliza maswali ya aina hii. Na wala usitegemee mtu mwenye akili timamu akakujibu kiuhalisia. Tunajua kuna tatizo la ukosefu wa ajira ila vijana si vyema kukimbilia nafasi za majeshi kwa kufuata vyeo na mishahara. Kama unapenda jeshi, tafuta nafasi upate ukachokitapata ndicho hichohicho. Wala msiwe na tamaa sana ya kupata pesa nyingi au vyeo kama mnavyotaka. Ukipata pesa nyingi fanya biashara huko mtaani. Hakuna Tajiri aliyeajiriwa serikalini au kwenye majeshi.Mshahara wa askari magereza Tsh ngapi?
Hivi wale wenye vyeo huko majeshini ni kwamba hawajawahi kuvitaka wala kuviwaza ehSi vyema sana kuuuliza maswali ya aina hii. Na wala usitegemee mtu mwenye akili timamu akakujibu kiuhalisia. Tunajua kuna tatizo la ukosefu wa ajira ila vijana si vyema kukimbilia nafasi za majeshi kwa kufuata vyeo na mishahara. Kama unapenda jeshi, tafuta nafasi upate ukachokitapata ndicho hichohicho. Wala msiwe na tamaa sana ya kupata pesa nyingi au vyeo kama mnavyotaka. Ukipata pesa nyingi fanya biashara huko mtaani. Hakuna Tajiri aliyeajiriwa serikalini au kwenye majeshi.