MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Ya uhakika hii?Lonja.!
Kozi ya JW itaanza baada ya kozi ya kwa mujibu kuisha.
Ndio mkuu.Ya uhakika hii?
Ya uhakika hii?
[emoji23][emoji23][emoji23]tutapaa pamoja we si Tai unahimili misukosuko ya anganiUsinisahau kwenye ufalme wako kaka
Salute🫡Ndio mkuu.
Kaka hilo usihofu[emoji23][emoji23][emoji23]tutapaa pamoja we si Tai unahimili misukosuko ya angani
Andaa mazingira kabisa.Kaka hilo usihofu
[emoji23][emoji23]sema bahat nazo zipoWakuu issue ya urefu imekaaje hyo 5.7 kama hujafikishaa vipiii??
Au wanatupa taulo tuhh
Mazingira ya JW aise nisiwe muongo huko sina nguvu kabisaAndaa mazingira kabisa.
Tuko pamojaKaka hilo usihofu
Aloo!! KumbehMazingira ya JW aise nisiwe muongo huko sina nguvu kabisa
Kwanini mkuu em tupe za ndaniiiiiiiila Jw wamejua kuwaweka watu
Sifa mbanga sio?ila Jw wamejua kuwaweka watu
namaanisha kuwasubirisha tokea watume maombiKwanini mkuu em tupe za ndaniiiiiii
Ronja nzuriAnd lonja ni kwamba within this year UT they will come back again...