Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ninavusikia kwamba msata ndo main rts ya ajira inakua ngumu sababu askari weng wakufunzi wanakua pale ndo ikitokea ajira sehem ya kwanza ni msata wa ziada ndo wanapelekwa orjoro
Hvyo ata masuala ya vipimo msata inakua ngumu sababu hyo wakubwa wengi wapo pale wanapatolea macho sana
 
Oyaa.. kumbe kuna watu wana bypass vipimo.
 
Naona baada ya maadhimisho ya miaka 60 ya JKT simu zitaanza kuita..

Watu wa Oljoro wajiandae.
 
Leo siku nzima nilikua busy kidogo...vp mama hajamwaga nafas za ajira kwenye event ya leo
Naona baada ya maadhimisho ya miaka 60 ya JKT simu zitaanza kuita..

Watu wa Oljoro wajiandae.
 
Mkuu waelezee na tifu la uwanja wa damu, hizo six weeks za mkesha tu ukisikia mtu anakuwa kichaa anavua hadi nguo maana yake siyo masikhara, Kuruta anaenda mabio ya alfajiri anakimbia huku amelala anavamia mti anapigiza kichwa anazimia [emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16]hiyo niliwahi kusikia kuruta unakuwa kama zombie huelewi unatembea uku unalala, unawezwa agizwa ndoo ukaleta jiwe.
 
Hivi mchakamchaka kama huo na kwenye Kwata wanakabidhiwa silaha mapema kufanyia mazoezi katika six week za kwanza maana kwa jinsi tifu lilivyo kuruta hawapagawi mwanzoni kupelekea kuchomana singe kweli?
 
Sasa kama kwa mujibu wengine tulikuwa tunakimbia huku tumelala kwenye mabio..hiyo RTS si ndio itakua balaa.[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…