Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hahaha kuruta anapoteana kabisa mkuu[emoji16][emoji16]hiyo niliwahi kusikia kuruta unakuwa kama zombie huelewi unatembea uku unalala, unawezwa agizwa ndoo ukaleta jiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kuruta anapoteana kabisa mkuu[emoji16][emoji16]hiyo niliwahi kusikia kuruta unakuwa kama zombie huelewi unatembea uku unalala, unawezwa agizwa ndoo ukaleta jiwe.
Huko watu wanakuwa vichaa kabisa mkuu zile six weeks za mujibu si ni mwendo wa chenja tu, kwa rts ni mwendo wa chenja, madoso na kubeba magogoSasa kama kwa mujibu wengine tulikuwa tunakimbia huku tumelala kwenye mabio..hiyo RTS si ndio itakua balaa.[emoji28]
Huko watu wanakuwa vichaa kabisa mkuu zile six weeks za mujibu si ni mwendo wa chenja tu, kwa rts ni mwendo wa chenja, madoso na kubeba magogo
Shusha lonja mkuu.Ukimya umezidi humu ndani
Washaanza kutuma sms huko..daah sio poa hiv jw hawajatoa majibu tuu hadi leo
hivi mujibu kutoka si mpaka mwez wa 9?!Washaanza kutuma sms huko..
Wanasubiri mujibu kozi uishe watu waitwe kambini wakale shumbwela.
Yeah mujibu wanamaliza Watisa
Kuna koz ya refresh Kama miez kadhaa wale walikwama TMA wadau wameenda report toka ijumaa juz wamefanya vipimo
Watu gani tena hao mkuu?Kuna koz ya refresh Kama miez kadhaa wale walikwama TMA wadau wameenda report toka ijumaa juz wamefanya vipimo
Wadau bogi la TAALUMA wa degree walienda TMA baadhi wakipata changamoto wanapga kozi ya AskariWatu gani tena hao mkuu?
Okay sawaWadau bogi la TAALUMA wa degree walienda TMA baadhi wakipata changamoto wanapga kozi ya Askari