Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃 umeongea kama orderly corporalNjoeni oljoro muone urahisi wake
anaweza akawa hata Service[emoji2] umeongea kama orderly corporal
Oyaa.. kumbe kuna watu wana bypass vipimo.Ninavusikia kwamba msata ndo main rts ya ajira inakua ngumu sababu askari weng wakufunzi wanakua pale ndo ikitokea ajira sehem ya kwanza ni msata wa ziada ndo wanapelekwa orjoro
Hvyo ata masuala ya vipimo msata inakua ngumu sababu hyo wakubwa wengi wapo pale wanapatolea macho sana
Hyo inatokea sana orjolo kule awakazii sana ata kama kozi ikiwa sio ya mkopo watu awateseki sana japo mapigo ni yale yaleOyaa.. kumbe kuna watu wana bypass vipimo.
Umemsikia lakini afande Mwagabona alichosema juu apo[emoji3]Hyo inatokea sana orjolo kule awakazii sana ata kama kozi ikiwa sio ya mkopo watu awateseki sana japo mapigo ni yale yale
Naona baada ya maadhimisho ya miaka 60 ya JKT simu zitaanza kuita..
Watu wa Oljoro wajiandae.
Wata kloo kwenye maweAfande Mwagabona vijana wakija washushie taulo..[emoji28]
Waje vijana RTS sio mafunzo ya Jkt imagine kombania ina watu 150 platoon watu 50 platoon3, kila platoon inashikiliwa na makamanda alafu ukute zile gogo zimelowekwa siku14 mwendo wa kipenga pyeee, pyeeee pyeeee mpaka monie ahaha Oljoro pagumu acheni ujingaUmemsikia lakini afande Mwagabona alichosema juu apo[emoji3]
Mama kampa lungu mkunda kuhusu vijana walio piga ParadeLeo siku nzima nilikua busy kidogo...vp mama hajamwaga nafas za ajira kwenye event ya leo
Mkuu waelezee na tifu la uwanja wa damu, hizo six weeks za mkesha tu ukisikia mtu anakuwa kichaa anavua hadi nguo maana yake siyo masikhara, Kuruta anaenda mabio ya alfajiri anakimbia huku amelala anavamia mti anapigiza kichwa anazimia [emoji16][emoji16]Waje vijana RTS sio mafunzo ya Jkt imagine kombania ina watu 150 platoon watu 50 platoon3, kila platoon inashikiliwa na makamanda alafu ukute zile gogo zimelowekwa siku14 mwendo wa kipenga pyeee, pyeeee pyeeee mpaka monie ahaha Oljoro pagumu acheni ujinga
[emoji16][emoji16]hiyo niliwahi kusikia kuruta unakuwa kama zombie huelewi unatembea uku unalala, unawezwa agizwa ndoo ukaleta jiwe.Mkuu waelezee na tifu la uwanja wa damu, hizo six weeks za mkesha tu ukisikia mtu anakuwa kichaa anavua hadi nguo maana yake siyo masikhara, Kuruta anaenda mabio ya alfajiri anakimbia huku amelala anavamia mti anapigiza kichwa anazimia [emoji16][emoji16]
Hivi mchakamchaka kama huo na kwenye Kwata wanakabidhiwa silaha mapema kufanyia mazoezi katika six week za kwanza maana kwa jinsi tifu lilivyo kuruta hawapagawi mwanzoni kupelekea kuchomana singe kweli?Waje vijana RTS sio mafunzo ya Jkt imagine kombania ina watu 150 platoon watu 50 platoon3, kila platoon inashikiliwa na makamanda alafu ukute zile gogo zimelowekwa siku14 mwendo wa kipenga pyeee, pyeeee pyeeee mpaka monie ahaha Oljoro pagumu acheni ujinga
Hapo sawa.Mama kampa lungu mkunda kuhusu vijana walio piga Parade
Sasa kama kwa mujibu wengine tulikuwa tunakimbia huku tumelala kwenye mabio..hiyo RTS si ndio itakua balaa.[emoji28]Mkuu waelezee na tifu la uwanja wa damu, hizo six weeks za mkesha tu ukisikia mtu anakuwa kichaa anavua hadi nguo maana yake siyo masikhara, Kuruta anaenda mabio ya alfajiri anakimbia huku amelala anavamia mti anapigiza kichwa anazimia [emoji16][emoji16]
six week hamna kishika sirahaHivi mchakamchaka kama huo na kwenye Kwata wanakabidhiwa silaha mapema kufanyia mazoezi katika six week za kwanza maana kwa jinsi tifu lilivyo kuruta hawapagawi mwanzoni kupelekea kuchomana singe kweli?
Six week Ni balaa.six week hamna kishika siraha