Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sasa kama kwa mujibu wengine tulikuwa tunakimbia huku tumelala kwenye mabio..hiyo RTS si ndio itakua balaa.[emoji28]
Huko watu wanakuwa vichaa kabisa mkuu zile six weeks za mujibu si ni mwendo wa chenja tu, kwa rts ni mwendo wa chenja, madoso na kubeba magogo
 
sema vijana mnapambana sana naumia sana kuona mmesota miaka miwili mitatu jkt mnasubiri kupata nafasi kwenye majeshi anatokea dogo tu wa kitaa hajawahi hata kanyaga jkt anachezesha vyeti saivi yupo kambini kweli kila mbuzi atakula urefu wa kamba.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
naona kimya sana Tulitegemea kipindi hichi kiwe kina ronja ila mpaka Sasa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…