hee hii imekua kimya kimya sanaKuna koz ya refresh Kama miez kadhaa wale walikwama TMA wadau wameenda report toka ijumaa juz wamefanya vipimo
ngoma ngumuWadau bogi la TAALUMA wa degree walienda TMA baadhi wakipata changamoto wanapga kozi ya Askari
Ndio mkuu..
Sijakusoma hapa mkuu..em fafanua tena.Kuna koz ya refresh Kama miez kadhaa wale walikwama TMA wadau wameenda report toka ijumaa juz wamefanya vipimo
hao inaeleweka mpaka mujibu wakaribie kutoka nafasi wanaztangazaWakujitolea mwenye lonja
Yes msata babuOkay sawa
Wanafanyia wapi hii kozi msata au?
Wadau wakipata changamoto TMA hawajawez endelea wale wa fani awali walianzia Dom waka gawanya degree wakaenda TMA diploma na Chet Msata Sasa walienda TMA wakipata changamoto wanarud kufany kozi ya Askari majuz wameenda report vipimo itakuwa koz fupiSijakusoma hapa mkuu..em fafanua tena.
Changamoto gani hizo mkuu wanazopata mpaka wanarudi?Wadau wakipata changamoto TMA hawajawez endelea wale wa fani awali walianzia Dom waka gawanya degree wakaenda TMA diploma na Chet Msata Sasa walienda TMA wakipata changamoto wanarud kufany kozi ya Askari majuz wameenda report vipimo itakuwa koz fupi
Mujibu wapo koz tena wapo poli sasa nkajua kuna mtu anajua ln au mwez gan kujitolea watatangazahao inaeleweka mpaka mujibu wakaribie kutoka nafasi wanaztangaza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu hujui Kuna changamoto Kam kuvnja mguuu ....afya kuzingua na mengineChangamoto gani hizo mkuu wanazopata mpaka wanarudi?
ndio nasemea mujb si huwa wanakaa miez mitatu... wanavokaribia kumaliza wanatangaza nafasi ili watu waanze usaili wilayani na mikoani.... nadhani mpaka mwez wa 8 mwishoni au wa 9 mwanzoni watatangaza nafasiMujibu wapo koz tena wapo poli sasa nkajua kuna mtu anajua ln au mwez gan kujitolea watatangaza
Sawa kiongozndio nasemea mujb si huwa wanakaa miez mitatu... wanavokaribia kumaliza wanatangaza nafasi ili watu waanze usaili wilayani na mikoani.... nadhani mpaka mwez wa 8 mwishoni au wa 9 mwanzoni watatangaza nafasi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Duuh huko TMA inaonekana siyo poa, kwahiyo hao kuhusu nyota ndio wasahau tena, wakitoka hapo wataishia tu kuwa ma NCO auWadau wakipata changamoto TMA hawajawez endelea wale wa fani awali walianzia Dom waka gawanya degree wakaenda TMA diploma na Chet Msata Sasa walienda TMA wakipata changamoto wanarud kufany kozi ya Askari majuz wameenda report vipimo itakuwa koz fupi
Anha!! Kumbe.Mkuu hujui Kuna changamoto Kam kuvnja mguuu ....afya kuzingua na mengine
Miezi 4JKT wakujitolea hupiga course kwa mda gan ?
Acha masihara chief
Vikosini tayari wametangaziwa form for kuazia for ya 29 mpaka one.na tpdf oljoro watasoma majina kuazia tarehe 17 kwa hiyo Kama una mtu omba Sana akusaidie hizi nafasiAcha masihara chief