Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hii ni kwa police tu sifkirii Kama inahusiana na Jwtz au sivo waungwana?
Asilimia kubwa vyombo vya ulinzi na usalama huwa wanakujaga kwa kufuatana eg.Watakuja polisi kma hivo tayari,JW(Hapa nahisi wataita wale waliombaga wanaosubiria majibu),Uhamiaji, na n.k so probably JW mwez wa nane wataanza kuita watu kwenye usaili makambini.
KIKUBWA KULINDA DAMU.
 
Jw tarehe 17 watasoma majina na vijana waliopo vikosini watahusika wataenda mojakwamoja oljoro

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…