Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hii kazi nayo imejaa machoko unakuja kutesa raia kisa nini ushurutishaji CCM popote mlipo Mungu anawaona toa nafasi kuanzia miaka ya 2010 nakuendelea unadhani wao pia hawastahili kupata kazi 🤣🤣
 
Hii kazi nayo imejaa machoko unakuja kutesa raia kisa nini ushurutishaji CCM popote mlipo Mungu anawaona toa nafasi kuanzia miaka ya 2010 nakuendelea unadhani wao pia hawastahili kupata kazi 🤣🤣
Anko umekosea jukwaa hili si la siasa samahani lakini
 
Kwa waliopo vikosini zinatumwa SMS,Kwa waliopo majumbani wanapigiwa simu,Hata watu wakiwa buku wanapigiwa simu.
hahahahahaha wajuba amjakata jwtz tamaa ajira toka wa tatu waite watu saizi zilikua siasa hili raia wajue jeshi linaajiri kumbe mtoto wa maskini kupata ajira ya jeshi ukaombe kwa raisi bila hvo ndgu zako wawe maconol au mameja pale ngome
 
Vijana wataitwa kweli mkuu na sio siasa.

Ila kupenya sio kitoto..unatakiwa uwe na watu kweli kweli.

Maana hizi ajira ni mwendo wa vimemo.
 
Dah! Mi nipo chuo mwaka wa pili na nilipita jkt kwamujibu. Natamani kuomba hii nafazi ya police kwa cheti cha form four sijui itakuaje!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…