Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Msiwakatishe tamaa vjana waache wakajaribu bahati zao jkt mm nilipitia huko 2019 nikatoboa bila connection yeyote kikubwa kumuomba mungu na nidhamu pia uvumilivu kama ipo ipo tuu vijana nendeni jkt fursa zinakuja ila std 7 siwashauri.
Sawa mkuu
 
Ulipita 2019? Intake iliyopiga 2019 walikua ni mafundi wa kwanza wa mirerani na ikulu kama haukua fundi maanake ulipita kwa maelekezo. Usiwadanganye madogo waambie ukweli mambo yamebadilika hakuna bahati tena.
 
Ahsante kwa kutuletea uzoefu huu
 
Usikariri kipindi kile mambo yalikuwa magumu but now days ukiwa na vigezo vya ajira unapata bila ufund wowote
Kwann? Wachukue bogi moja la msata vijana walitegemea bogi la pili lakini ndy hivyo tena kimeumaa.
Seriki inatesa watu wake kwann ichukue vijana wengi zaid ya elfu 10 alaf iajiri watu elfu 3 uoni hilo gap kubwaa
Kama hauna connection au bahati ya Mungu usiende kule
 
Bro kwani lazima waende jwtz fursa sio lazm tpdf vyombo vingine vipo mzee
 
Ndo maana nimekuambia siwashauri std 7 lkn elimu izo zingine waache wakajaribu bahat zao wapo watu wameenda wamerudi na wakapata kazi wakitokea majumbani kwao waache waende tungekuwa na fikra kama zako wote watu wangekuwa hawaajiriwi
 
Usikariri kipindi kile mambo yalikuwa magumu but now days ukiwa na vigezo vya ajira unapata bila ufund wowote
Acha ubishi wa kijinga intake ya mwisho kuingia kwa neema ni ya 37 ambayo ilikaa uzalendo mwaka mzima ndo mambo yalikua sio magumu sas hivi huko ni melekezo tu unapata faid gani kuwadanganya et vigezo acha achaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…