Breadboard
Member
- Jun 28, 2023
- 72
- 136
Karibia nusu nzima ya vijana wa JKT wanarud home tarehe 2/10 aisee n maumivu makubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuh acha kabisa maumivu yake tunayajua vzuri tuliokata mkataba kipndi kile cha jiweKaribia nusu nzima ya vijana wa JKT wanarud home tarehe 2/10 aisee n maumivu makubwa sana
Kivipi mkuu hebu fafanua kidogoKaribia nusu nzima ya vijana wa JKT wanarud home tarehe 2/10 aisee n maumivu makubwa sana
Kuna jamaa humu alikua anasema tuingie jkt mambo ni mazuriKaribia nusu nzima ya vijana wa JKT wanarud home tarehe 2/10 aisee n maumivu makubwa sana
Kule km hauna bahati au connection kutoboa n ngumu sanaKuna jamaa humu alikua anasema tuingie jkt mambo ni mazuri
Jkt kama huna maelekezo ni nouma
Daaah unakuja kuanza tena life la kitaaWameanza kuandika majina ya kupewa nauli za kurudi makwao hiyo tarehe 2
Inauma sanaDaaah unakuja kuanza tena life la kitaa
Msiwakatishe tamaa vjana waache wakajaribu bahati zao jkt mm nilipitia huko 2019 nikatoboa bila connection yeyote kikubwa kumuomba mungu na nidhamu pia uvumilivu kama ipo ipo tuu vijana nendeni jkt fursa zinakuja ila std 7 siwashauri.Daaah unakuja kuanza tena life la kitaa
Sawa mkuuMsiwakatishe tamaa vjana waache wakajaribu bahati zao jkt mm nilipitia huko 2019 nikatoboa bila connection yeyote kikubwa kumuomba mungu na nidhamu pia uvumilivu kama ipo ipo tuu vijana nendeni jkt fursa zinakuja ila std 7 siwashauri.
Ulipita 2019? Intake iliyopiga 2019 walikua ni mafundi wa kwanza wa mirerani na ikulu kama haukua fundi maanake ulipita kwa maelekezo. Usiwadanganye madogo waambie ukweli mambo yamebadilika hakuna bahati tena.Msiwakatishe tamaa vjana waache wakajaribu bahati zao jkt mm nilipitia huko 2019 nikatoboa bila connection yeyote kikubwa kumuomba mungu na nidhamu pia uvumilivu kama ipo ipo tuu vijana nendeni jkt fursa zinakuja ila std 7 siwashauri.
Ahsante kwa kutuletea uzoefu huuUlipita 2019? Intake iliyopiga 2019 walikua ni mafundi wa kwanza wa mirerani na ikulu kama haukua fundi maanake ulipita kwa maelekezo. Usiwadanganye madogo waambie ukweli mambo yamebadilika hakuna bahati tena.
Usikariri kipindi kile mambo yalikuwa magumu but now days ukiwa na vigezo vya ajira unapata bila ufund wowoteUlipita 2019? Intake iliyopiga 2019 walikua ni mafundi wa kwanza wa mirerani na ikulu kama haukua fundi maanake ulipita kwa maelekezo. Usiwadanganye madogo waambie ukweli mambo yamebadilika hakuna bahati tena.
Kwann? Wachukue bogi moja la msata vijana walitegemea bogi la pili lakini ndy hivyo tena kimeumaa.Usikariri kipindi kile mambo yalikuwa magumu but now days ukiwa na vigezo vya ajira unapata bila ufund wowote
Bro kwani lazima waende jwtz fursa sio lazm tpdf vyombo vingine vipo mzeeKwann? Wachukue bogi moja la msata vijana walitegemea bogi la pili lakini ndy hivyo tena kimeumaa.
Seriki inatesa watu wake kwann ichukue vijana wengi zaid ya elfu 10 alaf iajiri watu elfu 3 uoni hilo gap kubwaa
Kama hauna connection au bahati ya Mungu usiende kule
Ndo maana nimekuambia siwashauri std 7 lkn elimu izo zingine waache wakajaribu bahat zao wapo watu wameenda wamerudi na wakapata kazi wakitokea majumbani kwao waache waende tungekuwa na fikra kama zako wote watu wangekuwa hawaajiriwiKwann? Wachukue bogi moja la msata vijana walitegemea bogi la pili lakini ndy hivyo tena kimeumaa.
Seriki inatesa watu wake kwann ichukue vijana wengi zaid ya elfu 10 alaf iajiri watu elfu 3 uoni hilo gap kubwaa
Kama hauna connection au bahati ya Mungu usiende kule
Acha ubishi wa kijinga intake ya mwisho kuingia kwa neema ni ya 37 ambayo ilikaa uzalendo mwaka mzima ndo mambo yalikua sio magumu sas hivi huko ni melekezo tu unapata faid gani kuwadanganya et vigezo acha achaaUsikariri kipindi kile mambo yalikuwa magumu but now days ukiwa na vigezo vya ajira unapata bila ufund wowote
Huyo anadanganya kwa yanayoendelea huku hakuna bahatiAhsante kwa kutuletea uzoefu huu