Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Niaje humu...samahani mwenye lonja hivi mafunzo kwa jeshi la magereza yatakua yameanza au bado
 
Niaje humu...samahani mwenye lonja hivi mafunzo kwa jeshi la magereza yatakua yameanza au bado
 
Sijawahi kupita humu ila leo nawaachieni humu vijana
Mwezi 10 mwishoni kwa waliofanya usahili ule wa mtandaoni andaeni tu pesa za nauli uzuri kule sio Kama jakata vifaa vyote utapata ila andaa pesa ya emergence mwenyewe soksi za kutosha vingine utavikuta Usisahau kutuandalia na mwili.
Siwezi taja idadi ila aghalabu wale wa kwa Mujibu nao wamechukuliwa japokuwa ni wachache.
Kama una connection mwezi wa kumi ukianza anza kujipendekeza mapema ukiweza anza sahivi.
Watu wasipoenda nafuta account ya JF.
Kwaheri
 
Shukrani kwa lonja mkuu.

Alafu hii "Utaandalie na mwili" ulikua una maana gani hapa?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…