Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nimesikia sasa hivi taarifa ya habari Redio One...Raisi amewatunuku uafisa madogo kama 600 kasoro kule Monduli
Wakiwemo na wale walioenda mafunzo nchi za nje.
 
Kuna jamaa mmoja (alichaguliwaga kwa mujibu)sijui alifanyaje ila alitolewa kwenye mafunzo Monduli ya uluteni usu akapangiwa dar sasa hivi ni private wa kawaida tu...leo angekua anahitimu
Afya Babu watu walizngua maisha sio kwenye majeshi tu na mwanangu Moja na demu Moja watoto wakubwa afya ilizngua walitemwa huko juuuu now wako kitaaa na shughul binafs
 
Hivi polisi raundi hii itawachukua mda gani kuapdodi majina pdf. Maana kuna tetesi eti kunawaliotangulia ccp bado hawajaanza kozi wanasubiriwa wa raundi hii ili kujazia idadi
Wale wameenda kitu October ...pdf nahis haita take time juz Kuna mkoa wamemaliza madogo wame ambiwa haita chukua muda walihakikoa vyeti
 
Vipi alikimbia jalamba.....but mwamba anaumia saizi
Kuna walioumia kwenye hii course walipewa option either warudi chomboni kama private baada ya kupona au kuendelea na maisha mengine. Kwa Wengine walirudi na kukubali kuwa Privates, wengine wakaamua kurudi tu uraiani.Kwa kosa la kinidhamu , asingepewa hiyo chance , angefukuzwa kabisa.
 
Idadi ya waliotangulia ccp ni watu mia tisa ila wanatakiwa watu 2500 kwa ujumla kwaiyo wataongezeka ila watakua wachache sana.maana kuna mkoa form 4 wanahitajika watu 8 na form 6 wanatakiwa 2
 
Back
Top Bottom