Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu umri una watema2025 inakuja, zinakuja nyingi tu...ww andaa mazingira yako tu
Vipi alikimbia jalamba.....but mwamba anaumia saiziKuna jamaa mmoja (alichaguliwaga kwa mujibu)sijui alifanyaje ila alitolewa kwenye mafunzo Monduli ya uluteni usu akapangiwa dar sasa hivi ni private wa kawaida tu...leo angekua anahitimu
Itakuwa aliumia au alifanya kosa fulani wakamtoa mafunzoni akarudi kuwa other rankKuna jamaa mmoja (alichaguliwaga kwa mujibu)sijui alifanyaje ila alitolewa kwenye mafunzo Monduli ya uluteni usu akapangiwa dar sasa hivi ni private wa kawaida tu...leo angekua anahitimu
sio kuumia na makosa tuu, pia kuna kuwa na mitihani ukipata chini ya kiwango unatolewaItakuwa aliumia au alifanya kosa fulani wakamtoa mafunzoni akarudi kuwa other rank
Ukiwa below mitihani mitatu au minne mfululizo unatolewasio kuumia na makosa tuu, pia kuna kuwa na mitihani ukipata chini ya kiwango unatolewa
jkt,rts kozi zote za kijeshi kuna kuingia darasani na mitihan mnafanya ila na nma ya usomaji wake ndio shida but Tma wapo ailiaz zaidi kule ikifeli tuu sijui mara ngap wanakutoaivi TMA Kuna muda wa kujisomea kweli au ni tifu tu muda wote
Afya Babu watu walizngua maisha sio kwenye majeshi tu na mwanangu Moja na demu Moja watoto wakubwa afya ilizngua walitemwa huko juuuu now wako kitaaa na shughul binafsKuna jamaa mmoja (alichaguliwaga kwa mujibu)sijui alifanyaje ila alitolewa kwenye mafunzo Monduli ya uluteni usu akapangiwa dar sasa hivi ni private wa kawaida tu...leo angekua anahitimu
Wale wameenda kitu October ...pdf nahis haita take time juz Kuna mkoa wamemaliza madogo wame ambiwa haita chukua muda walihakikoa vyetiHivi polisi raundi hii itawachukua mda gani kuapdodi majina pdf. Maana kuna tetesi eti kunawaliotangulia ccp bado hawajaanza kozi wanasubiriwa wa raundi hii ili kujazia idadi
Na vip kuhus idadi italingana na waliotangulia ccp au wataongezeka??Wale wameenda kitu October ...pdf nahis haita take time juz Kuna mkoa wamemaliza madogo wame ambiwa haita chukua muda walihakikoa vyeti
Kuna walioumia kwenye hii course walipewa option either warudi chomboni kama private baada ya kupona au kuendelea na maisha mengine. Kwa Wengine walirudi na kukubali kuwa Privates, wengine wakaamua kurudi tu uraiani.Kwa kosa la kinidhamu , asingepewa hiyo chance , angefukuzwa kabisa.Vipi alikimbia jalamba.....but mwamba anaumia saizi