SIjawahi muuliza sababu kwann ilikua vile.Vipi alikimbia jalamba.....but mwamba anaumia saizi
Yeye ni private tu yupo Dar now.Afya Babu watu walizngua maisha sio kwenye majeshi tu na mwanangu Moja na demu Moja watoto wakubwa afya ilizngua walitemwa huko juuuu now wako kitaaa na shughul binafs
Kwa minajiri hiyo wanahitajika watu 1600 kujazia idadiIdadi ya waliotangulia ccp ni watu mia tisa ila wanatakiwa watu 2500 kwa ujumla kwaiyo wataongezeka ila watakua wachache sana.maana kuna mkoa form 4 wanahitajika watu 8 na form 6 wanatakiwa 2
Yah unaweza kua sahihi chiefKuna walioumia kwenye hii course walipewa option either warudi chomboni kama private baada ya kupona au kuendelea na maisha mengine. Kwa Wengine walirudi na kukubali kuwa Privates, wengine wakaamua kurudi tu uraiani.Kwa kosa la kinidhamu , asingepewa hiyo chance , angefukuzwa kabisa.
Nathibitisha kwa asilimia zote ukipiganisha unatoboa nina jamaangu alipata connection December 2021 kaenda msata kutokea uraiani akaapa mwaka jana pia mwaka jana mwishoni kaenda TMA jana kavishwa nyota mbele ya Rais na degree yake ya ualimu ambayo alipata muda kidogo.ila si itakua inategemea ni aina gani ya degree inahitajika au ukipiganisha degree yoyote unazama uko
Hongera sana kwake..pia inaonekana connection yake haikua ya kitoto.Nathibitisha kwa asilimia zote ukipiganisha unatoboa nina jamaangu alipata connection December 2021 kaenda msata kutokea uraiani akaapa mwaka jana pia mwaka jana mwishoni kaenda TMA jana kavishwa nyota mbele ya Rais na degree yake ya ualimu ambayo alipata muda kidogo.
Kaka hao wakubwa wanapatikana wapi?Pia alijiongeza kukaa karibu na wakubwa
Aisee..!! Haya mambo bwana..anyways! Kila mtu ana njia zake katika haya maisha..Naowazumgumzia kwa yeye alicheza nao toka yupo Msata alivyomaliza akapangiwa Ruvu pale ila karibia kila siku alikuwa anaenda Mgulani alikuwa sijui anapiga paper sijui kuna vitu anafatilia ndo ghafla kazamia Monduli
Yeah sure jamaa ameshakula shavu sahiviAisee..!! Haya mambo bwana..anyways! Kila mtu ana njia zake katika haya maisha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo maelekezo yawe makubwa haswa.Nathibitisha kwa asilimia zote ukipiganisha unatoboa nina jamaangu alipata connection December 2021 kaenda msata kutokea uraiani akaapa mwaka jana pia mwaka jana mwishoni kaenda TMA jana kavishwa nyota mbele ya Rais na degree yake ya ualimu ambayo alipata muda kidogo.
Kuna mkoa form 4 na six total 21Idadi ya waliotangulia ccp ni watu mia tisa ila wanatakiwa watu 2500 kwa ujumla kwaiyo wataongezeka ila watakua wachache sana.maana kuna mkoa form 4 wanahitajika watu 8 na form 6 wanatakiwa 2
Yeye jamaa yangu alitema kurud u private aliona jauYeye ni private tu yupo Dar now.
Wakubwa wenyew mifumo muda inzngua nguvu Wana zidianaWakubwa ni kuanzia cheo gani wakuu
Private ndio ikoje wakuuuYeye jamaa yangu alitema kurud u private aliona jau
Hivi ukiwa na degree ukimaliza ile course ya RTS unaenda moja kwa moja TMA bila kupitia ile course yao ya Level III au, maana nasikia kwa kawaida mkitoka ile course ya RTS miezi sita mnapangiwa vikosi then huko mnaenda kuendeleza course nyingine tena ya miezi minne ambayo mkimaliza hiyo ndio mnaitwa Private Level III na mnatunukiwa rasmi zile kofia za Beret, maana kabla ya hapo mnakuwa na zile kofia za kawaida tu za Cap na Hat zenye bakabaka so nilitaka kujua kama na wale wa Monduli huwa wanapitia hiyo course ama wao ni moja kwa moja tuNathibitisha kwa asilimia zote ukipiganisha unatoboa nina jamaangu alipata connection December 2021 kaenda msata kutokea uraiani akaapa mwaka jana pia mwaka jana mwishoni kaenda TMA jana kavishwa nyota mbele ya Rais na degree yake ya ualimu ambayo alipata muda kidogo.
Yeah walivyomaliza Msata sijui mwezi wa 3 ile akaonekana kidogo mtaani then akasepa tena after that ndo akapotelea uko MonduliHivi ukiwa na degree ukimaliza ile course ya RTS ni kwamba unaenda moja kwa moja TMA bila kupitia ile course yao ya Level III au, maana nasikia kwa kawaida mkitoka ile course ya RTS miezi sita mnapangiwa vikosi then huko mnaenda kuendeleza course nyingine tena ya miezi minne ambayo mkimaliza hiyo ndio mnaitwa Private Level III na mnatunukiwa rasmi zile kofia za Beret, maana kabla ya hapo mnakuwa na zile kofia za kawaida tu za Cap na Hat zenye bakabaka so nilitaka kujua kama na wale wa Monduli huwa wanapitia hiyo course ama wao ni moja kwa moja tu
Private ni mwanajeshi asiye na cheo chochote aka shati tupu, ndiyo cheo cha chini anachoanza nacho mwanajeshi, anapomaliza mafunzo ya awali ya kijeshiPrivate ndio ikoje wakuuu
Naomba kuelewesha
Wa mwaka jana walimaliza RTS June, baadhi wakaenda TMA December ambao ndiyo baadhi yao wale regular, (ukiacha wale wa military science) wameapa janaYeah walivyomaliza Msata sijui mwezi wa 3 ile akaonekana kidogo mtaani then akasepa tena after that ndo akapotelea uko Monduli