Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Idadi ya waliotangulia ccp ni watu mia tisa ila wanatakiwa watu 2500 kwa ujumla kwaiyo wataongezeka ila watakua wachache sana.maana kuna mkoa form 4 wanahitajika watu 8 na form 6 wanatakiwa 2
Kwa minajiri hiyo wanahitajika watu 1600 kujazia idadi
 
Kuna walioumia kwenye hii course walipewa option either warudi chomboni kama private baada ya kupona au kuendelea na maisha mengine. Kwa Wengine walirudi na kukubali kuwa Privates, wengine wakaamua kurudi tu uraiani.Kwa kosa la kinidhamu , asingepewa hiyo chance , angefukuzwa kabisa.
Yah unaweza kua sahihi chief
 
ila si itakua inategemea ni aina gani ya degree inahitajika au ukipiganisha degree yoyote unazama uko
Nathibitisha kwa asilimia zote ukipiganisha unatoboa nina jamaangu alipata connection December 2021 kaenda msata kutokea uraiani akaapa mwaka jana pia mwaka jana mwishoni kaenda TMA jana kavishwa nyota mbele ya Rais na degree yake ya ualimu ambayo alipata muda kidogo.
 
Hongera sana kwake..pia inaonekana connection yake haikua ya kitoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naowazumgumzia kwa yeye alicheza nao toka yupo Msata alivyomaliza akapangiwa Ruvu pale ila karibia kila siku alikuwa anaenda Mgulani alikuwa sijui anapiga paper sijui kuna vitu anafatilia ndo ghafla kazamia Monduli
Aisee..!! Haya mambo bwana..anyways! Kila mtu ana njia zake katika haya maisha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nathibitisha kwa asilimia zote ukipiganisha unatoboa nina jamaangu alipata connection December 2021 kaenda msata kutokea uraiani akaapa mwaka jana pia mwaka jana mwishoni kaenda TMA jana kavishwa nyota mbele ya Rais na degree yake ya ualimu ambayo alipata muda kidogo.
Hapo maelekezo yawe makubwa haswa.
 
Nathibitisha kwa asilimia zote ukipiganisha unatoboa nina jamaangu alipata connection December 2021 kaenda msata kutokea uraiani akaapa mwaka jana pia mwaka jana mwishoni kaenda TMA jana kavishwa nyota mbele ya Rais na degree yake ya ualimu ambayo alipata muda kidogo.
Hivi ukiwa na degree ukimaliza ile course ya RTS unaenda moja kwa moja TMA bila kupitia ile course yao ya Level III au, maana nasikia kwa kawaida mkitoka ile course ya RTS miezi sita mnapangiwa vikosi then huko mnaenda kuendeleza course nyingine tena ya miezi minne ambayo mkimaliza hiyo ndio mnaitwa Private Level III na mnatunukiwa rasmi zile kofia za Beret, maana kabla ya hapo mnakuwa na zile kofia za kawaida tu za Cap na Hat zenye bakabaka so nilitaka kujua kama na wale wa Monduli huwa wanapitia hiyo course ama wao ni moja kwa moja tu
 
Hivi ukiwa na degree ukimaliza ile course ya RTS ni kwamba unaenda moja kwa moja TMA bila kupitia ile course yao ya Level III au, maana nasikia kwa kawaida mkitoka ile course ya RTS miezi sita mnapangiwa vikosi then huko mnaenda kuendeleza course nyingine tena ya miezi minne ambayo mkimaliza hiyo ndio mnaitwa Private Level III na mnatunukiwa rasmi zile kofia za Beret, maana kabla ya hapo mnakuwa na zile kofia za kawaida tu za Cap na Hat zenye bakabaka so nilitaka kujua kama na wale wa Monduli huwa wanapitia hiyo course ama wao ni moja kwa moja tu
Yeah walivyomaliza Msata sijui mwezi wa 3 ile akaonekana kidogo mtaani then akasepa tena after that ndo akapotelea uko Monduli
 
Yeah walivyomaliza Msata sijui mwezi wa 3 ile akaonekana kidogo mtaani then akasepa tena after that ndo akapotelea uko Monduli
Wa mwaka jana walimaliza RTS June, baadhi wakaenda TMA December ambao ndiyo baadhi yao wale regular, (ukiacha wale wa military science) wameapa jana
 
Back
Top Bottom