Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Yeah na anaekushika mkono akung'ang'anieHapo maelekezo yawe makubwa haswa.
MTOTO WA KISHUA HUYOYeye jamaa yangu alitema kurud u private aliona jau
sifa Uvumilivu mkuuwakuuu walitupa lonja nying za mwezi haumalizi
Ile oktoba imeisha na December tunaelekea
Pia Kuna as weresifa Uvumilivu mkuu
YES CHA MUHIMU NI KUA NA SUBIRA TUPia Kuna as were
KWELI JAMIIFORUMS USIJE NA HASIRA ZAKO...SASA HAPO MKUU UMEMAANISHA NINI KAMA SIO TU KUJAZA NOTIFICATIONwale watu
Maybe anajambo wait arudiiKWELI JAMIIFORUMS USIJE NA HASIRA ZAKO...SASA HAPO MKUU UMEMAANISHA NINI KAMA SIO TU KUJAZA NOTIFICATION
nilivokua jkt ukisia tuù wale watu ujue kuna jamboKWELI JAMIIFORUMS USIJE NA HASIRA ZAKO...SASA HAPO MKUU UMEMAANISHA NINI KAMA SIO TU KUJAZA NOTIFICATION
Fafanua kdg kakanilivokua jkt ukisia tuù wale watu ujue kuna jambo
Wengi walitema, now wapo kitaani wanaendelea na maisha mengine tu. Wengine wamepiga usaili wa polisiYeye jamaa yangu alitema kurud u private aliona jau
unajua kulikuwa na wa aina mbili kule monduliWengi walitema, now wapo kitaani wanaendelea na maisha mengine tu. Wengine wamepiga usaili wa polisi
Ni vitu gani vitakavyo kufanya ufukuzwe chuoni Monduli TMA..?unajua kulikuwa na wa aina mbili kule monduli
1. ni wale ambao walishapiga kozi rts wana vyeo kuanzia private wakaenda munduli kupiga kozi ya uafisa ,hao ni pamoja na wale millitary science ambao wanapiga kozi rts halafu hufanya tena usahili wa kwenda monduli. hao sasa wakirudishwa wanarudi vikosini mwao kuendelea na majukumu yao ya vikosini.
2.
ni wale walio chukuliwa vyuoni wenye fani ya udaktari na mainjinia ambao walifanyiwa usahili pale makutupora halafu wakapiga kozi ya jkt, baada ya kumaliza wakafanya usahili wa kwenda monduli walioshindwa wakaenda msata waliofaulu ndio wakaenda monduli moja kwa moja wakiwa bado hawajapitia mafunzo ya awali ya kijeshi,, sasa ndo hao ambao wakishindwa kule wanarudi kama raia tuu wakaambiwa wasubiri wapige kozi tena ya awali ya kijeshi rts ili wawe maprivate .sasa wengine wanaona jau kozi ya monduli ilivo ngumu halafu unarudi tena kuwa kiruta wa rts sio poa japo kuna watu wanakomaa tuu
Nidhamu
Hahaha hapo sawanilivokua jkt ukisia tuù wale watu ujue kuna jambo
Kaka,Figisu kama zipi?Nidhamu
magonjwa
kuumia
Kufeli
Figisu
Ila wanao feli mwishoni huwa wakirudi vikosini mwao wanapewa cheo cha sajent au staff sajent
Yeah jamaaaa yuk kundi namba mbili ...time wako makutu figisu zilikuwa nying watu wa 1993 wengine watoto wa wakubwa wakala za uso umriunajua kulikuwa na wa aina mbili kule monduli
1. ni wale ambao walishapiga kozi rts wana vyeo kuanzia private wakaenda munduli kupiga kozi ya uafisa ,hao ni pamoja na wale millitary science ambao wanapiga kozi rts halafu hufanya tena usahili wa kwenda monduli. hao sasa wakirudishwa wanarudi vikosini mwao kuendelea na majukumu yao ya vikosini.
2.
ni wale walio chukuliwa vyuoni wenye fani ya udaktari na mainjinia ambao walifanyiwa usahili pale makutupora halafu wakapiga kozi ya jkt, baada ya kumaliza wakafanya usahili wa kwenda monduli walioshindwa wakaenda msata waliofaulu ndio wakaenda monduli moja kwa moja wakiwa bado hawajapitia mafunzo ya awali ya kijeshi,, sasa ndo hao ambao wakishindwa kule wanarudi kama raia tuu wakaambiwa wasubiri wapige kozi tena ya awali ya kijeshi rts ili wawe maprivate .sasa wengine wanaona jau kozi ya monduli ilivo ngumu halafu unarudi tena kuwa kiruta wa rts sio poa japo kuna watu wanakomaa tuu
Mkiwa kwenye kozi kuna mda mnapewa vikaratasi uandike jina la mtu ambaye unaona hafai kuwa officer kwa tabia zake so wengine hapa huwa wanachomekewa