mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Ujuzi hadi miaka 30Magereza wameachia nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujuzi hadi miaka 30Magereza wameachia nafasi
Lini?Magereza wameachia nafasi
Kaka kwenye mshati vp hujaskia chochotehuo ujuzi sasa
kuna wadau walipigiwa simu waliambiwa wajiandaeKaka kwenye mshati vp hujaskia chochote
Poa poakuna wadau walipigiwa simu waliambiwa wajiandae
polisi tena kuna kozi mbili kulePT wanaachia lini
Jana mkuuLini?
Noma mkuuuUjuzi hadi miaka 30
Wale walio tangulia Wana maliza lini?polisi tena kuna kozi mbili kule
Nahisi wa tatu.Wale walio tangulia Wana maliza lini?
Soon kitu gani mkuu?Soon
Acha uoga Mzee. Kwenye ajira 700....wa connection hawazidi 100Daah aisee yaani Bila connection Maisha ya ajira Hizi magumu
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Mkuu unaishi nchi gani, JW hawatangazagi nafasi za ajira ila kila mwaka Askari zaidi ya 3000 wanaapa pale Kihangaiko jiulize hawa wote wanapatikanaje, hata ukiwa kikosini hupati bila connection maana huko nako wako wengi zaidi ya nafasi zilizopo ndio maana kuna wanaorudi nyumbaniAcha uoga Mzee. Kwenye ajira 700....wa connection hawazidi 100
Aaah hizo achana nazo mkuu...nilijua unazisemea hizi za magereza[emoji23]Mkuu unaishi nchi gani, JW hawatangazagi nafasi za ajira ila kila mwaka Askari zaidi ya 3000 wanaapa pale Kihangaiko jiulize hawa wote wanapatikanaje, hata ukiwa kikosini hupati bila connection maana huko nako wako wengi zaidi ya nafasi zilizopo ndio maana kuna wanaorudi nyumbani
mkuu zile walizotangaza mwaka jana kwa kikosini kwetu niliomaliza nao kaondoka mmoja nae sababu alikuwa batman wa co akampiganishia juu kwa juu ila juz wamemaliza zaid ya 2000 ,yaani jw nafasi 3000 majina ya mchongo 5000 hapo bado walio jktAaah hizo achana nazo mkuu...nilijua unazisemea hizi za magereza[emoji23]
.jw labda uende kambini ...kujitolea ....ila ukiwa kitaa uwe na connection nzito