Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Katika jambo sipend kusikia humu ni swala la kua et PT wanatoa pdf yao january jambo ambalo halina ukweli kabisa...

Tangazo la kazi mwezi wa 8
Usaili mwezi wa 9
Kuitwa kozi mwezi wa 1.

Ushawahi kuona wapii.. taasisi zote huwa wanajipanga kwenye mtiririko wa matukio hawakurupuki .. hivyo mnaosema kozi jnuary mnajidanganya.

Lonja: Kuanzia jana kuna walio anza kuingia ccp kupiga kozi ya nyota. Wengine tena !!
 
Yaah wanachukua watu maalum mtaani 2018 walichukua madaktari 3000 lakini sahizi wanachukua vijana wa mujib wa sheria wanawasomesha

Hata mwaka huu wakitoa nafasi watachukua watu uraiani pia kulingana na vipaumbele vyao..
 
Unabisha alafu chini unakubali,kama kuna Askari wengine wameanza kuripoti jana CCP unadhani kozi yao itakuwa wiki? Hao watapiga mpaka Disemba ndiyo kuruta waingie Januari.

Polisi sasa hivi kuna kozi za askari sehemu mbalimbali,juzi pia wapo Sajenti waliomaliza kozi Morogoro nk.
 
Kwa hiyo hiyo pdf tuitegemee mwezi wa kumi na mbili au sio?
 
Hahahahaha..

Wazee wa lonjaaa, Mtapotea.

Lonjaaa ya msingi sana.. VUMILIENI.

Tukutane mkikaribia pass out.
 
Wengi mna mteru humu, muendege hukohuko polisi ila huku TPDF tunahitaji wanaume wa kazi.

Waulizeni intake ya 37 nilichowafanya kuna bishoo mmoja baba kanituma nilimrusha wazimu six week ng'aring'ari hakuna kumwaga tee ukitoa mguu PTi nimeweka na doso juu.

Huu mshati hauvaliw kizembe
 
Kama hukuomba omba polis tpdf ujiandae kwa hal na mali maana huku ndio hakuna fomula kabisa unaweza ukashangaa unaona tu kwenye tv kozi inafungwa pale Kihangaiko

Ila mkitangaziwa ombeni mimi mtanikuta na nitawapa ujanja wa pori mtaiva full masinondo no yekeyeke kuangushia koz

 

Sawa afande...tunakuja utupe huo ujanja wa pori [emoji4]
 
Kuripoti kwa askar ccp hakuzuii kuruti kwenda.. ccp ni kubwa sana. Kuna kilele poli kuna kilimanjaro na n.k.. kuruti anaweza asionane na askari wa kutafta nyota miezi yote ya kozi...

Lakin kaa ukijua kwamba kuruti anaenda kabla ya january.. hilo swala la january halipo..

Haya mambo waachie wandani usiskilize story za pongo wako (constable) yeye pia hajui lolote kama wewe anasubiri maelekezo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…