Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hali yetu wazee wa pdf hahahaha MrBanks
FB_IMG_1634476306929.jpg
 
Sema vijana mnaopenda majeshi nafasi kama za Suma Guard zikitoka msiache kuomba maana niliwahi kusikia siku za mbeleni nao wataingizwa kwenye vyombo vya ulinzi vya JMT kwahiyo kuwa sawa na vyombo hivi vingine.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda useme jkt ila sio suma guard
 
Nalipenda Jeshii Nilitimba mpaka kambini oljoro 833kj lakini wapiiii... Aisee kama Mungu hajakupangia ni hajakupangia tuuu
 
Nje ya mada kuu jamani.... Naombeni kuuliza hv wale walinzi wanaolinda bandarini ni kutoka jeshi gani??
 
Mtakuja tu madogo na mtatukuta tuwape ukamanda ,wala sio mda mrefu
 
Back
Top Bottom