Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
Kaunda na police tenaKozi Januari,mchakato bado unaendelea kwa wale waliotuma maombi MM mchakato unasimamiwa kwa umakini sana ili kuepusha mamluki wazee wa Kaunda wapo makini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaunda na police tenaKozi Januari,mchakato bado unaendelea kwa wale waliotuma maombi MM mchakato unasimamiwa kwa umakini sana ili kuepusha mamluki wazee wa Kaunda wapo makini.
Na hutaipata wala hutaona ikitangazwa popote paleNIMEAMUA RASMI KUACHANA NA HII NITAVIZIA TISS MPAKA NIZEEKE BILA YA HAPO
KILIMO KINAENDELEA
usikate tamaa mzee, japo waliotuma maombi n wengi sana na nafasi ni chache tuASANTE Najua haitangazwi Ajira portal ila HYATT'S NA KIDIMBWI zinatangazwa
Hapana Mkuu..mimi mzee sana.mkuu nawe umeaplai?
Ulipo wapo..Kaunda na police tena
Nafasi ni zaidi ya 3200,kijeshi 3000 ni 5000 hiyo.usikate tamaa mzee, japo waliotuma maombi n wengi sana na nafasi ni chache tu
Najua kila kitu katika kuomba hizo nafasi.sawa, ila una A,B C za kuweza kuaplai ,?
mwanza pale wanaweza pigisha kozi sehem gani mkuu wangu..Kama umeomba nafasi na una ujuzi kama ushonaji au ufundi wa vyombo vya moto,mtaalamu wa mambo ya maabara na uliambatisha vyeti vya ujuzi huo nafasi ya kuitwa kwenye usaili ni zaidi ya 70% hata kama umri wako ni zaidi ya waliouainisha jiandae.
Jeshi la sasa limebadirika siyo lile la zamani enzi zile unachukuliwa tu ila sasa hivi unaangaliwa utalifanyia nini Jeshi?
Mliosoma kozi zile za social science endeleeni tu na maisha mengine.
Kama umeomba nafasi na una ujuzi kama ushonaji au ufundi wa vyombo vya moto,mtaalamu wa mambo ya maabara na uliambatisha vyeti vya ujuzi huo nafasi ya kuitwa kwenye usaili ni zaidi ya 70% hata kama umri wako ni zaidi ya waliouainisha jiandae.
Jeshi la sasa limebadirika siyo lile la zamani enzi zile unachukuliwa tu ila sasa hivi unaangaliwa utalifanyia nini Jeshi?
Mliosoma kozi zile za social science endeleeni tu na maisha mengine.
Subiria maelekezo kama utaitwa utafanya kozi popote pale watapokupangia Mwanza,Zanzibar kuna facility zinazoweza kuwapokea na kufanya kozi.mwanza pale wanaweza pigisha kozi sehem gani mkuu wangu..
Unaweza kupita,muda bado upo.Hivi huu mwezi unaweza ukapita bila kutoa majina..??
JKT haiajiri.JWTZ haiajiri ila lina andikisha Askari.JWTZ mwaka jana wamemaliza kozi vijana,mwaka huu pia wamefanya kozi vijana.Hivi naomba kuuliza kidog...hivi jwtz kwanini hawaajir kwan wao hua hawana uhitaji..??
-maana nashangaa watu wanaenda jkt afu wanarudi kitaa kapa
JKT haiajiri.JWTZ haiajiri ila lina andikisha Askari.JWTZ mwaka jana wamemaliza kozi vijana,mwaka huu pia wamefanya kozi vijana.
Ni dm namba yako ya wasapYeah mwanangu vp wew
Wanamaliza mwezi wa kumi kuna mwamba yupo kwenye kozi hiyo ametupa ronja wameanza mwezi wa 8 kwaiyo Hadi wa kumi nadhanCCP kuna watu wanafanya kozi miezi 3 na wameanza sept hii.
Safi mkuu shukran .utupe ronja Kama hiziKozi ni Januari,lakini kama kutakuwa na mabadiriko labda itafanyikia Zanzibar au Mwanza ila kama ni CCP basi ni Januari.
Kijeshi unaongeza buku 2 ...kwa hali hii watu hawatothubutu kuandamna Kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Nafasi ni zaidi ya 3200,kijeshi 3000 ni 5000 hiyo.