Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

We jamaa tatizo unajifanya unajua kila kitu kumbe ni mweupe tu ,unawaita hadi watu matapeli na kujiona mjuaji sana ila ni mpuuzi mmoja tu hivi
Hata hivyo hatujuani Tuheshimiane Tu.Unaweza Kuta Unaongea na Baba Yako mzazi Humu na Mm ndio nakupambania Upate Shavu
 
Yani , mkeka unao usubiriwa sio wa kupigiwa simu , mkeka ni ule wa makao makuu ya polisi, Kule ndo kuna majamaa yana mavyeo yenye mikasi wao ndo wanasema huyu weka huyu nyau toa, ongeza hawa kumi wa IGP, hahahahahahhaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahaha Sasa mbona Wanasema wamepigiwa Simu watuu...Ina maaana wewe unakataa
 
Mtakao shindwa msibadili ID, Kuna kampuni kibao za ulinzi.

Vua gamba, vaa gwanda.

Hahahahah, tupeni lonja watt wa afande IGP.
 
Hahahahaha Sasa mbona Wanasema wamepigiwa Simu watuu...Ina maaana wewe unakataa
Kijana swala la kupigiwa simu, sio tatizo tatizo liko mzigo ukitumwa makao makuu ya polisi , huko ndo ukisikia mtu hajawai hata kufanya usahili ila yupo kwenye list.
 
Hahahahahahaha kwamba Wenye nafasi zao tayari wapooo eeehhh hahahahah
 
KUSEMA KUNA WATU UA TOA ZIKA LAZIMA WAINGIE CCP

HUO NI UKWELI ASILIMIA 100

KUNA WATU WANAANDAA VIFAA MA HUO NDIO UKWELI NA SIO TZ TU KOTE DUNIANI

MM MWENYEWE REFEREE ASINGEKUFA KULE MBEYA NI KUTELEZA TUU NA SAA HII INGEKUWA KUWAZA VYEO
 
Kijana swala la kupigiwa simu, sio tatizo tatizo liko mzigo ukitumwa makao makuu ya polisi , huko ndo ukisikia mtu hajawai hata kufanya usahili ila yupo kwenye list.
Kwa hiyo Mkuu unataka kusema yatatoka Majina ya Watu walotuma MM Dodoma?
 
Kijana swala la kupigiwa simu, sio tatizo tatizo liko mzigo ukitumwa makao makuu ya polisi , huko ndo ukisikia mtu hajawai hata kufanya usahili ila yupo kwenye list.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]

KAMA MAGU ALIVYOKUWA,
NA ALIWAAMBIA MAKAMANDA WASIINGIZE WATU WAO KWA WALIOKULA COURSE YA JKT NA KUJENGA UKUTA MERERANI ILA NJEMBA ZILIINGIA HASA WANDUGU WA WANAOITWA WAKUBWA
 
Kwa mtakaopata nafasi ya usaili, be well prepared mentally, physically and spiritually.

Anything can happen.. kila kada usaili utakua kwenye kikosi husika.

Tupeni lonjaaa tufurahi
 
Kwa mbali katika ulimwengu wa roho naskia..

"Makonstebo" Awiiiih... Najikuta namaliza Awaaah... Hahahahah

Wazee wa lonjaaa wenzenu ndo haooo... hadohadooo wanaondokaaa hayaa twendee.

Mkifika hapo ccp Msisahau Kumtumaini Mungu.
 
Watoto wazuri kama kawaida

Ma file ya wakuu[emoji28][emoji23][emoji23]
 
Kwa mbali katika ulimwengu wa roho naskia..

"Makonstebo" Awiiiih... Najikuta namaliza Awaaah... Hahahahah

Wazee wa lonjaaa wenzenu ndo haooo... hadohadooo wanaondokaaa hayaa twendee.

Mkifika hapo ccp Msisahau Kumtumaini Mungu.
Mtumishi vipi, vijana wanaruhusiwa kula tunda wakati wa kozi au [emoji23]
 
Labda Kama instructor ni "mdebwedo".

Ila kama mtu wa kazi, ashkhi ya tendo unaitoa wapi?

Uzinzi ni dhambi nzito Sana.. tuiepike zinaa.

1 Wakorintho 6:18
"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe."
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]

KAMA MAGU ALIVYOKUWA,
NA ALIWAAMBIA MAKAMANDA WASIINGIZE WATU WAO KWA WALIOKULA COURSE YA JKT NA KUJENGA UKUTA MERERANI ILA NJEMBA ZILIINGIA HASA WANDUGU WA WANAOITWA WAKUBWA
Nlikua mmoja wa hao wahanga sitakuja sahau kwenye life langu ila hivi nchi basi tu
 
Back
Top Bottom