Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 879
- 1,084
Kumbe wale kazi yao ni kujaza tu passport?Kumjazia mtu passport haihitaji iwe mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wale kazi yao ni kujaza tu passport?Kumjazia mtu passport haihitaji iwe mrefu
Hapana bhana pia hata kufanya patrol mipakani,kuzuia wahamiaji halam na kz zingine nyingi tu za kiulinziKumbe wale kazi yao ni kujaza tu passport?
Mapambano Mpaka Mwishoo...Vijana wanashindwa kuelewa mwanajeshi hatua zote ni mshindiiii au Wanasema imeisha Mpaka hatua ya MwishooIntelejensia ya kawaida vijana wachache waliokuwa kwenye huu Uzi ni aidha wamekwama kusonga mbele kwenye ile PDF ya kwanza au wamekata tamaa..
Amkeni wazalendo, msikate tamaa, always next time.
Ila wewe jamaa sio mtu wa kawaida ✋Intelejensia ya kawaida vijana wachache waliokuwa kwenye huu Uzi ni aidha wamekwama kusonga mbele kwenye ile PDF ya kwanza au wamekata tamaa..
Amkeni wazalendo, msikate tamaa, always next time.
PT Tanzania Mchakato wa Mikoani vipi Nako walimaliza tayari? Kama PT HQ?Uhamiaji watatoa jedwali la pili la nafasi kwa wenye Diploma na Bachelor Degree.Jiandaeni.
Form six vipi hawatakiwiTunashukuru Sana Mkuu...Endelea kutupa Lonja
Tunawazumu tu madogo ,pambaneni sisi ndio tunamaliza ivyo kozi hapa ccp tunawasubilia nyie tuLonja Lonjaa Wadau thread imepoaa sanaaaaa Sasa hivi ...Au ndio presha inapanda,presha inashukaa wadauuuu wale wa Kilwa Road.?
Hahahahahah tunashukuru MkubwaaTunawazumu tu madogo ,pambaneni sisi ndio tunamaliza ivyo kozi hapa ccp tunawasubilia nyie tu
Wasisahau pasi ya mkaa ya kunyoshea nguo.Tunawazumu tu madogo ,pambaneni sisi ndio tunamaliza ivyo kozi hapa ccp tunawasubilia nyie tu
HV tpdf nao watatoa mwaka huu kweliWasisahau pasi ya mkaa ya kunyoshea nguo.
[emoji38]Hapa ndipo liliponishinda Jeshi la Polisi,TPDF huo muda wa kunyosha nguo unaupata wapi na muda wote unavurugwa kwenye matope,kupigwa nua, una wenge la usingizi?
Mkuu hivi haya mambo ccp tutayakuta kweli tukibahatika kuitwa?kutolala 2 months[emoji3][emoji3]Wasisahau pasi ya mkaa ya kunyoshea nguo.
[emoji38]Hapa ndipo liliponishinda Jeshi la Polisi,TPDF huo muda wa kunyosha nguo unaupata wapi na muda wote unavurugwa kwenye matope,kupigwa nua, una wenge la usingizi hujalala mwezi mzima na wiki mbili na wakati mwingine COau OC wa Kombania akivurugwa mnaendelea na mkesha hadi miezi miwili inatimia watu mpaka akili zinawaruka wanakuwa kama vichaa,mchakamchaka saa 10 usiku kuruta anapotea njia anavamia miti piga kichwa chini.
[emoji38]
TPDF halijawahi kuacha kuandikisha Askari hata mwaka mmoja,mwaka jana tu bogi zimepigwa zaidi ya mbili,RTS Kihangaiko bogi 2 na Oljoro 1.HV tpdf nao watatoa mwaka huu kweli
CCP mnalala saa 8 usiku mnaamka saa 10 kama sijakosea.Mkuu hivi haya mambo ccp tutayakuta kweli tukibahatika kuitwa?kutolala 2 months[emoji3][emoji3]
Duh watukumbuke nasisi form six wenye ufaulu mkubwa polisi wamechukua form4 failure na six walopata 3 na 4 aise hahahahaTPDF halijawahi kuacha kuandikisha Askari hata mwaka mmoja,mwaka jana tu bogi zimepigwa zaidi ya mbili,RTS Kihangaiko bogi 2 na Oljoro 1.
Vyombo vingine havitachukua Askari ila siyo TPDF.
Mpaka sasa nafasi walizopewa Vyombo vya mambo ya ndani kwa TPDF ni bogi moja tu pale Kihangaiko sasa bado Oljoro nao wakipigisha kozi tunaongea habari ya 6000+.