Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,676
- 3,046
MP's na polisi wa uraiani majukumu yao yanatofautiana sana ijapokuwa wana jina lifananalo.MP hudili na mambo ya kutekeleza sheria za jeshi ila polisi wa kawaida hudili na mambo mengi na ndio maana mafunzo yao huchukua muda mrefu,kuna mambo wao hujifunza kama upelelezi,ushahidi na mambo mengine mengi.Unajua TPDF lina kila kitu unachokiona uraiani na majeshi mengine mfano TPDF lina Military Police kozi wanaenda miezi 3 tu na wanafanya mambo yote ya kipolisi yote yaani,iwe traffic,ukamataji,uchunguzi nk. Sasa kwanini wao waweze kufanya kozi ya miezi 3 alafu PT miezi 9 wao wana upekee gani hasa?
Jeshi lina Idara ya Usalama/military intelligence(Intelligency Officer) kama wa TISS tu na kozi ni hiyo hiyo miezi 3 wengine wanashindwa nini?
Hebu jiulize kwanini leo afe mwanajeshi kambini ktk mazingira ya kutatanisha watakuja polisi wa kawaida kufanya 'PM' na si Miltary police.?