bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Hivi hizi kama za uhamiaji na zimamoto kama kwa sie ambao hatujapitia jkt kuapply hatujisumbui kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jkt ni kigezo mama, unless they decide otherwiseHivi hizi kama za uhamiaji na zimamoto kama kwa sie ambao hatujapitia jkt kuapply hatujisumbui kweli?
Wacha tupambane ivyo ivyo,watajua wenyewe mm nina apply,nisije acha alafu nikajilaumuJkt ni kigezo mama, unless they decide otherwise
Jkt ni kigezo mama, unless they decide otherwiseHivi hizi kama za uhamiaji na zimamoto kama kwa sie ambao hatujapitia jkt kuapply hatujisumbui kweli?
Yah apply mkuu labda wenyewe ndio wakukate...huwezi jua ya Mungu mengiWacha tupambane ivyo ivyo,watajua wenyewe mm nina apply,nisije acha alafu nikajilaumu
Thanks mate.Jkt ni kigezo mama, unless they decide otherwise
Yah apply mkuu labda wenyewe ndio wakukate...huwezi jua ya Mungu mengi
Afu mbona km choo cha kulipia wanamuandama sana kwan kutoa ronja n tatizo? Duh afu kumbe kuna watu wanawivu wakijinga yn MTU amefanya km Ku predict watu wanakosoa bongo hiiHakuna sehem aliposema anajua majina yatatoka lini, mbn kama una vita nae
Kuna watu wanapenda vita,sisi wakongwe kwenye haya mambo unakuta una wadau kadha wa kadha sehemu tofauti tofauti sasa fursa kama hivi zinapotoka unajaribu kufukunyua lonja mbili tatu na ukizipata na kwa vyanzo vya kuaminika ndiyo unaviweka hapa na wengine wafaidike kwa namna yoyote ile.Afu mbona km choo cha kulipia wanamuandama sana kwan kutoa ronja n tatizo? Duh afu kumbe kuna watu wanawivu wakijinga yn MTU amefanya km Ku predict watu wanakosoa bongo hii
Daaah Mimi na HKL yangu tulikataliwa mapema tu ht barua hazikupokelewaWale mlioomba mikoani kwa RPC kama sio pcm, pcb or pgm fanya issue zngne, or uwe maybe na connection nzur, wanajtaj hzo comb tu.
Jaribu zari likudondokee ila baadhi ya vigezo muhimu umekosa .jaribu tu mkeka wakoHivi wakuu kama sijapita jkt naweza kuchaguliwa kweli ilhali sifa zingine ninazo?,maana mi ni fundi bomba ngazi ya cheti na nmemaliza form four japo nilipata div 2,je naweza kutumia cheti cha form 4 na fani yangu tu tayari au nisipoteze muda tu maana naona
JKT ndo kama sifa mama
Sifa jkt mze.... Ila omba pia mn huwez jua mkuuHivi wakuu kama sijapita jkt naweza kuchaguliwa kweli ilhali sifa zingine ninazo?,maana mi ni fundi bomba ngazi ya cheti na nmemaliza form four japo nilipata div 2,je naweza kutumia cheti cha form 4 na fani yangu tu tayari au nisipoteze muda tu maana naona
JKT ndo kama sifa mama
Sifa zoote ninazo height inaleta shida tena napima yaja futi 5.1 badala 5.7 wanayotaka haya mambo n hatari sana[emoji24]mungu afanye wepesi lasivyo
Dah hatar mkuu tatzo hiyo connection ndo shida hasa kwa sisi wenye professional za sayansi unaweza kuta tupo wengiTuma maombi ivoivo...halafu tafuta connection ya uhakika [emoji4][emoji4]
Dah hatar mkuu tatzo hiyo connection ndo shida hasa kwa sisi wenye professional za sayansi unaweza kuta tupo wengi
Ndio mkuu hyo height imenistua sanaUnahofia kutoitwa kwenye usaili..?
Ndio mkuu hyo height imenistua sana