Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna watu wanesha pigwa huko
IMG_20211014_094328.jpg
 
Unajua, IGP siro alisema kuwa kuna ajira 3200 PT , Lakini waziri wa mambo ya ndani, akasema 1000, hadi muda huu watu wa mkoa hawana lonja yeyote but wako katika hali ya kusubiri that is too bad, pia , magereza wamefanya unfair kabisa , haiwezekani leo ndo iwe deadline ya tangazo then kesho wa tangazo usahili, inamaana kama umetoma maombi normally imekula kwako, na sio EMS
✔️✔️✔️
 
Kwaiyo zitakuwa 4200 ni TPDF au. Acha mihemko bwana mdogo,uliza walio tuma mikoani it's like geresha tu,
Za ndani kabisa nafasi ziko 4200, Mara ya kwanza zilitolewa 3200 kwa ajili ya PT tu(Hizi alitoa mama moja kwa moja) mara ya pili zikatolewa nyingine na wizara kwa ajili ya majeshi yote yaliyopo chini ya wizara husika mgawanyiko (UT 300+,MT 700+, ZT 200+,PT 1000(constables)), Sasa jumlisha zile 3200 za mama pamoja na hizi buku za wizara utapata majibu..
 
Huku ofisi ya kamanda wa polisi mkoa .tuliambiwa majina yatatumwa huko then mtayapata mtandaoni website ya polisi .
Daah mkuu polisi mpka leo tu bado hamjatumiwa majina


Sasa sisi wa fire na uhamiaji si itakuwa mwakani sasa maana hata kujibiwa maombi kama wamekubali bado

Mbona wanachelewesha sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli Ni kumuomba mungu tuu...

Ila Kama ww ni form six au four alafu una division one au two mhh...kazi ipo bro
 
Mwenye lonja magereza Kwa waliotuma maombi makao makuu Dodoma.
 
Back
Top Bottom