mrMaco
Member
- Jun 19, 2020
- 87
- 153
Course imeshapigwa stop na maafisa wamesharejea zao makazini....Kuhusu course kuw mwakan January hii kitu nimesikia sikia kutoka kwa muhusika mmoja hivi ambaye alinipa taarifa kuwa CCP kuna course nyingine ya maofisa ambayo ilitakiwa kufanyika kwa miez mi4 kuanzia mwezi huu ila ilipigwa stop ili intake ya police wapya ifanyike lakini bado conclusion haijafikia mwisho lolote laweza kutokea..kama wakiamua kuiendeleza basi polisi wapya wataenda mwakan... otherwise tusubir lolote laweza kutokea.