Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Hivi wale 1000 wa nyongeza waliitwa kwenye usaili ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wale 1000 wa nyongeza waliitwa kwenye usaili ?
Hata sijajua mkuu,yaaani aya mambo yapite tuSasa kwann wamechukua pungufu ingawa kuna nafasi kama 17 zimepelea na watu wengine wamekosa au uhitaji ulibadilika
Hata sijajua mkuu,yaaani aya mambo yapite tu
Tujue tunapambana vipi
Asante mkuuPoleni sana mliokosa,bado kuna nafasi nyingine.
Brother nikufundishe kitu ndugu yako, connection ni kuitafutaLive nimeyaona sitojaribu AJIRA yoyote ile hata nishkiwe bunduki kma sina connection ya uhakika [emoji18]
Mm nahutaji kama milioni 40 hivi.ili nisi ajiriweSerikali itufikirie vijana kwa namna nyengine huku vyuma vimekaza watupe hata mikopo tujikwamue kibiashara
Hela nyingi Sana me million kumi yakuanza so mbayaMm nahutaji kama milioni 40 hivi.ili nisi ajiriwe
Asante kwa kunipa moyo ..[emoji120]Brother nikufundishe kitu ndugu yako, connection ni kuitafuta
Husikate tamaa ndugu yangu,mm na wewe tupo pamoja
Wote watoto wa wakulima(no connection)
Ila ukitafuta connection unapata.
Tukaze buti brother vita ndio kwanza inaanza
Every finish line is the beginning of new race
sasa huko hata usaili badoHaya wale wanangu wa fire vipi mbona kimya ?
Walete tu hayo majina
Daaaah nenda serikali(mwenyekiti) ya mtaa,atakupa planHela nyingi Sana me million kumi yakuanza so mbaya
Mungu ni mwema.Asante kwa kunipa moyo ..[emoji120]
Wanatoaga kivikundi hizo hela nadhan ingekuwa alone ningeomba . NB.sihitaji mkopo wa kuheka rehani nyumba wala kiwanjaDaaaah nenda serikali(mwenyekiti) ya mtaa,atakupa plan
[emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491]Nimeamka asubuhi akili imechoka mwili umechoka nimeenda home bimkubwa bado hayupo sawa naye anaonekana ana mawazo kuliko mie .. at least mtaani ningekuwa ramani imetulia angekuwa na amani naye ameshachoka kuona kijana wake nahangaika Sana bila mafanikio.sema kila kitu rizk naamini kama ingalikuwa yangu ingekuja tu ..mungu ataendelea kuwa mungu sitochoka kupambana hata nisipo ajiriwa basi mungu atafungua huku huku miitaani ..tusikate tamaa ndungu mafanikio yana Siri kubwa mojawapo ni uvumilivu ama subra . Wakati wetu utafika kwa siye tulokosa mungu yupo hakuna kukata tamaa.[emoji120]
Hauwek lehan chchte,unaweza unda kuni hewa brother,mjini wanafanya ivyoWanatoaga kivikundi hizo hela nadhan ingekuwa alone ningeomba . NB.sihitaji mkopo wa kuheka rehani nyumba wala kiwanja
Duuu kaka yn wew acha tu yn sometimes inabidi ufanye application tu bila kuwashirikisha hawa wazee maana mwisho wa siku wanakuja kufadhaika kuliko ata wew mwenyew .. ..Nilikuwa nikiomba kila siku bi mkubwa wangu amefadhaika Sana kuliko hata mie mpaka najuta kwanini nimemwambia[emoji21]
Force number yako herufi za mwanzo ni sawa na hiyo uliyoiona?
Maana kuna AKF,AR,AKN,AU,AZ..
Namba zinaweza kufanana ila siyo herufi.ni
Wameshakupiga hao [emoji23][emoji23]Ni sawa inaanza AT namba zote ni yangu
HahahahahNiki mkumbuka kikwete, naona jamaa alikuwa muungwana sana
Tatzo la ajira serekalin limeanza kipindi cha magu 2016
Tanzania hakuna afadhali, sio sector binafsi wala serekali.
Kinacho uma zaid mtu unapambana kuwa wa tofaut lakin tunaangushwa, yaani ndo nchi pekee ambayo kigezo cha kufeli ndo unapata kazi.