Nimeamka asubuhi akili imechoka mwili umechoka nimeenda home bimkubwa bado hayupo sawa naye anaonekana ana mawazo kuliko mie .. at least mtaani ningekuwa ramani imetulia angekuwa na amani naye ameshachoka kuona kijana wake nahangaika Sana bila mafanikio.sema kila kitu rizk naamini kama ingalikuwa yangu ingekuja tu ..mungu ataendelea kuwa mungu sitochoka kupambana hata nisipo ajiriwa basi mungu atafungua huku huku miitaani ..tusikate tamaa ndungu mafanikio yana Siri kubwa mojawapo ni uvumilivu ama subra . Wakati wetu utafika kwa siye tulokosa mungu yupo hakuna kukata tamaa.[emoji120]