Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Tpdf Mara nyingi hua wana recruit askari kutoka makambini ...

So mlomaliza mikataba yenu km mm tukae kwa kutulia maana jwtz hua haiiitishi usaili wala application ni order tu inayotoka makao na majina
 
Tpdf Mara nyingi hua wana recruit askari kutoka makambini ...

So mlomaliza mikataba yenu km mm tukae kwa kutulia maana jwtz hua haiiitishi usaili wala application ni order tu inayotoka makao na majina

Hivi Mfano wakihitaji fani sihua wanatangaza uraiani au.?
 
Hata kwa upande wa fani kama upo kitaa usitegemee sana kusema wanaweza wakatangaza kama ambavyo imekuwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama chini ya wizara ya mambo ya ndani ,inaweza ikapita chini kwa chini watu wakaitwa baadhi kufanya usahili kutoka nje ya makambi napo inahitaji uwe na mtu wa karibu anayeweza kukujuza...ila yote katika yote mambo yanabadilika wanawez wakaitisha usahili kwa kutangaza nafasi ..ni lonja tu
 
Back
Top Bottom