Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mjiandae kuna nafasi ziko njiani pia za maafisa usalama viwanja vya ndege/aviation security officers chini ya Tanzania Airport Authority/KADCO(KIA) nao watataka uwe na cheti cha JKT uwe degree/diploma holder or less..

Kazi kwenu vijana hizi kazi tunawaachia damu changa.
Mbona kama sio taarifa sahihi bro
 
Mpaka sahv hakuna lolote,,kimya tunaisi wamepiga juu kwa juu au ndo system ka ya jw toa majina tukutane yawaliowachagua watu wakutane kiwila
Kuna mtu ameniambia week hii inayoanza kesho magereza wanatoa majina ya usaili wale wa taaluma

Japo ni lonja tu,ngoja tuon
 
Wadau.......Hivi kale kauhakiki kwa watu wenye elimu za diploma na madgree kwa tpdf ngome kaliishiaga wapi au hakuna maajabu ya kale ka uhakiki ,au ulipita danganya toto nini ... mwenye vironja hatujuze hata kama azina kitu
 
Wengine tulipita mujibu kaka, hiyo habari yako mpya sasa🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom