MrGeneous
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 562
- 285
Waaaaaz afandeee.....[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya kaeni chini tutaanza kuita majinaWaaaaaz afandeee.....[emoji16]
Mmmh ,,inaukwel au unatutest mioyo yetu boiKesho magereza uhakika.......update ya ndani kabisa majina ya usaili yapo 150.
Wangapi na wameharibu nini huko??Kuna mdau kanipa za chini chini kwamba huko CCP kuna watu baadhi washaharibu kazi,wametimuliwa kwa utovu wa nidhamu.
Niliwaambia.!
Walikua 20 tuu
Naskia masharti kama yote na siunajua makuruta wengi elf 4 ++ huko kwahiyo kuwa control inakua shida sasa ni sheria tuuu ukiyumba kidogo tuu unatimuliwaDuh aisee polisi inaonekana shule yao ipo sereous sana duh
Sana aiseeDuh aisee polisi inaonekana shule yao ipo sereous sana duh
Hivi wako maelfu au mamia ?Naskia masharti kama yote na siunajua makuruta wengi elf 4 ++ huko kwahiyo kuwa control inakua shida sasa ni sheria tuuu ukiyumba kidogo tuu unatimuliwa
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Aisee 4000 wengi mnoo na ccp wanatosha kweli wote hao
Ccp inabeba watu elfu 5Aisee 4000 wengi mnoo na ccp wanatosha kweli wote hao
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwahyo wakiwapunguza wata fix nafasi au ndio imetoka
Sina hakika ila mara nyingi kama kufix ni wale baba kanituma ndio huwa wanachomekwaKwahyo wakiwapunguza wata fix nafasi au ndio imetoka
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app