chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Nipasie na mm hyo connection mkuu,Yule jamaa wa ikulu kaniambia soon anaenda kuniacha msata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipasie na mm hyo connection mkuu,Yule jamaa wa ikulu kaniambia soon anaenda kuniacha msata
Nipasie na mm hyo connection mkuu,Yule jamaa wa ikulu kaniambia soon anaenda kuniacha msata
hongera sana kwa kula shavu ilo, Naona baada ya waziri kubadilishwa uyu mpya ndo anaanza kugawa ajira kama ni kwl soon kama ulivyoambiwaYule jamaa wa ikulu kaniambia soon anaenda kuniacha msata
Kuna waziri kabadilishwa?hongera sana kwa kula shavu ilo, Naona baada ya waziri kubadilishwa uyu mpya ndo anaanza kugawa ajira kama ni kwl soon kama ulivyoambiwa
Muulize mzigo wa tanpol linYule jamaa wa ikulu kaniambia soon anaenda kuniacha msata
Yeah waziri wa ulinzi na JKT alibadilishwa kutoka Tax stergomena na kuwa Innocent BushungwaKuna waziri kabadilishwa?
jamaa wa ikulu waongo sana nisha aidiwa sanaYule jamaa wa ikulu kaniambia soon anaenda kuniacha msata
Aah huyo sawaYeah waziri wa ulinzi na JKT alibadilishwa kutoka Tax stergomena na kuwa Innocent Bushungwa
hongera sana kwa kula shavu ilo, Naona baada ya waziri kubadilishwa uyu mpya ndo anaanza kugawa ajira kama ni kwl soon kama ulivyoambiwa
sijakuelewa kiongoziHili tangazo la mwaka Jana lakini.
sijakuelewa kiongozi
yeah ni kweli tunalijadili tangazo la 2021 lakini nilichomaanisha juu apo kwa mdau ni kuwa JWTZ ambayo ipo chini ya wizara ya mambo ya ulinzi toka askari wa mwsho kuapa 30 sept chini ya waziri stergomena kulikuwa hamna taarifa ya lini watasajili tena recruits wapya sasa ikatokea kubadilishwa kwa waziri ndo apo nkamwambia jamaa naona waziri mpya nae kaanza kutoa ajira.Ulisema ajira zimeanza kyachiliwa baada ya waziri kubadilishwa, nikakukumbusha kwamba hili tangazo la ajira tunazijadili ni la mwaka 2021.
yeah ni kweli tunalijadili tangazo la 2021 lakini nilichomaanisha juu apo kwa mdau ni kuwa JWTZ ambayo ipo chini ya wizara ya mambo ya ulinzi toka askari wa mwsho kuapa 30 sept chini ya waziri stergomena kulikuwa hamna taarifa ya lini watasajili tena recruits wapya sasa ikatokea kubadilishwa kwa waziri ndo apo nkamwambia jamaa naona waziri mpya nae kaanza kutoa ajira.
Tangazo sijaliona na wala sijasikia tamko ila nilimqoute mdau apo aliembiwa soon atapelekwa msata ndo nkamjibu kama ni kweli alivyoambiwa basi Waziri mpya ndo atakuwa ameanza nayeye kutoa hzo ajira.Nimekupata mkuu. Ingekua vyema Hilo tangazo la kazi za JWTZ ukaliweka hapa pia wadau wajue unaongelea taarifa nyingine. Au lilitoka tamko tu?
Tangazo sijaliona na wala sijasikia tamko ila nilimqoute mdau apo aliembiwa soon atapelekwa msata ndo nkamjibu kama ni kweli alivyoambiwa basi Waziri mpya ndo atakuwa ameanza nayeye kutoa hzo ajira.
sio fresh mzeMambo yameanza kuiva makamanda PCCB tayari
hilo tangazo ni la mwakajanaMambo yameanza kuiva makamanda PCCB tayari
Sikuangalia aisee nlipagawa nkajua tayarihilo tangazo ni la mwakajana
hahaaa usipagaweSikuangalia aisee nlipagawa nkajua tayari
Hakuna tangazo ispokuwa jwtz wana utaratibu wao wa kuajiri after kuruta kumaliza kozi ya JKTNimekupata mkuu. Ingekua vyema Hilo tangazo la kazi za JWTZ ukaliweka hapa pia wadau wajue unaongelea taarifa nyingine. Au lilitoka tamko tu?