Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ulisema ajira zimeanza kyachiliwa baada ya waziri kubadilishwa, nikakukumbusha kwamba hili tangazo la ajira tunazijadili ni la mwaka 2021.
yeah ni kweli tunalijadili tangazo la 2021 lakini nilichomaanisha juu apo kwa mdau ni kuwa JWTZ ambayo ipo chini ya wizara ya mambo ya ulinzi toka askari wa mwsho kuapa 30 sept chini ya waziri stergomena kulikuwa hamna taarifa ya lini watasajili tena recruits wapya sasa ikatokea kubadilishwa kwa waziri ndo apo nkamwambia jamaa naona waziri mpya nae kaanza kutoa ajira.
 
Nimekupata mkuu. Ingekua vyema Hilo tangazo la kazi za JWTZ ukaliweka hapa pia wadau wajue unaongelea taarifa nyingine. Au lilitoka tamko tu?
 
Tangazo sijaliona na wala sijasikia tamko ila nilimqoute mdau apo aliembiwa soon atapelekwa msata ndo nkamjibu kama ni kweli alivyoambiwa basi Waziri mpya ndo atakuwa ameanza nayeye kutoa hzo ajira.
 
Nimekupata mkuu. Ingekua vyema Hilo tangazo la kazi za JWTZ ukaliweka hapa pia wadau wajue unaongelea taarifa nyingine. Au lilitoka tamko tu?
Hakuna tangazo ispokuwa jwtz wana utaratibu wao wa kuajiri after kuruta kumaliza kozi ya JKT

Sasa baada ya kundi la mwisho kumaliza kozi yao ya ajira (kuwa wanajeshi) kambi za kozi za ajira zikabaki wazi ambapo baadhi ya kambi wameshaanza kuripoti wakisubiri wengine

ALL IN ALL HUU NDIO MUDA MZURI WA CONNECTION ZA JWTZ ila usijidanganye nafasi ya vipenyo nafasi ni chache utaliwa hela zako bure
 
Back
Top Bottom