Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
washua hao ,wapoo mkuuKuna mtu nchi hii anacheti cha horse 🐎 Rider 😂😂
Ngumu mno mkuu kama ngamia kupenya tundu la sindano kuna certificate tajwa pale ni ngumu kuwapatawashua hao ,wapoo mkuu
dua mkuuu wanguCCP itaondoa wengi sana kwenye huu Uzi
Iv kuna utaratibu gn ukimaliza chuo unaweza kwend? maana baada ya wale wanaochaguliw hakunaga tena majinaKma huna gamba la Jkt usijisumbue
Mwaka huu bachelor watachukua wengi ona fani zilivo nyingi wanazohitajiKwenye pdf watu wenye degree walikua 97 tu.
Kama umeomba kupitia hiyo degree yako omba Mungu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia ukiwa CCP hiko kitengo kimejumuishwa na mbwa.Kuna mtu nchi hii anacheti cha horse [emoji237] Rider [emoji23][emoji23]
Watu kumbe ndipo wanapokula utawalaNasikia ukiwa CCP hiko kitengo kimejumuishwa na mbwa.
Yaani ni kitengo kizuri sana cha kudondoshea kozi.
Wenyewe wanakiita tengo mbwa na farasi.[emoji28]
Huko mautawala kama yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki hii tuone...!!View attachment Fomu ya afya.pdfHabarini wakuu
Samahan kwa upande wa dodoma fomu ya daktari inapatikana stationari gan apa barabara ya 8 naona nmezunguka karibu niikose [emoji856][emoji40]
Kule unaishi kama mzuka mda wote mimi kuruta " mimi kuruta"Sahihi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] Zimamoto huwa sio ndefu sana. Uhamiaji Nadhani ni miezi 6 hivi
Hakuna fomu maalum iliyotolewa jiongeze kutafuta fomu ambyo itakuwa nzuri uende nayo hospital note; jiongezeHabarini wakuu
Samahan kwa upande wa dodoma fomu ya daktari inapatikana stationari gan apa barabara ya 8 naona nmezunguka karibu niikose [emoji856][emoji40]
Hivi bado wanaendaga kule mabokweni ?Na CCP mtakimbia Mabio sio poa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiki kitengo kinafananishwa na kitengo cha ngoma coy[emoji28]Watu kumbe ndipo wanapokula utawala
Kila siku tunasema humu ndani mujibu wa sheria ile ni jkt umepewa cheti cha jktKwaiyo km ukupitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria imeisha iyo
Nimecheka saaana kudadeki [emoji28]Kule unaishi kama mzuka mda wote mimi kuruta " mimi kuruta"
Mda wowote unaogopa kujichanganya ukaaga mashindano na asikwambie mtu hivi unajua maisha ya uoga ya kuwindana kama digidigi yalivyo ? [emoji3]
Ukiumwa kidogo malaria we tayari unfit , buti hujapiga kiwi we tayari ushaharibu [emoji3]
Ndio maana wakimaliza wakichomoka ccp wanakuwa wamevurugwa morali kama zote usiombe ukutane na kisanga cha askari mpya huo utukutu wako utaisha
Hahahahaha maaake mie nicheke