Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

TPA hakuna hela kihivyo...na ukitokea ukawa mpigaji basi maisha yako ya uraiani ni mafupi saana

Sio kila kitengo kina hela TPA sasa mimi electrical engineer napatia wap hela mbali na mshahara

Mimi nataka kazi ambayo nahudumia wananchi direct na nataka nipambane na jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 79 baada ya vita ya kagera
Hahahahahahhaha
 
Matapeli wengi sasa mbanga inatakiwa ajitolee mwenyewe kwa moyo wake mfano kuna sajent wa JW alikuwa kapanga home mwamba alipigiwa pande na meja jenaral from kitaa to RTS bila kupita JKT mwaka 2015 now ni sajent na elimu ni form four
Sasa tuliokuwa kitaa mkuu ni kipengere mno mpka kuja kuingia jw kama hauna mbanga ni mateso asee
 
TPA hakuna hela kihivyo...na ukitokea ukawa mpigaji basi maisha yako ya uraiani ni mafupi saana

Sio kila kitengo kina hela TPA sasa mimi electrical engineer napatia wap hela mbali na mshahara

Mimi nataka kazi ambayo nahudumia wananchi direct na nataka nipambane na jambazi eliyetuibia t.v. yetu ya kichogo mwaka 79 baada ya vita ya kagera
Haahaaa poapoa mkuu huyo jambazi atakuwepo kweli mtaani sahv? Au ndo umkamate km golden state killer aliyefanya ubakaji na mauaji mengi miaka ya 70 huko California marekani akaja kukamatwa mwaka 2018 tiyari kikongwe[emoji16]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom