Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Amin ndugu wa damu miyeyusho tu sometimes Sasa me nilikuwa nataka niingie kwenye vyombo vya usalama kuna ndugu mwingine akawa anawajaza watu wa connection et me namkatalia kuingia kwenye ualimu Sasa me na kigugumizi changu nikamfundishe mtt wa nani atanielewa pumbav zake
Sasa chief umesomea ualimu halfu hutaki kufundisha 😀😀😀
 
Sasa chief umesomea ualimu halfu hutaki kufundisha [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]hamna sema sijaelezea vizuri tu iyo yote imetokea wakati nmemaliza fm6 sasa me nkaona kusoma chuo ni uongo sitaki hayo mambo ndo nkaona ni bora niingie kwenye vyombo vya usalama kama kusoma ntasomaga mbele ya safari uko.

Sasa yeye ndo kajitokeza et me nisomee ualim SERIOUS!!!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16]hamna sema sijaelezea vizuri tu iyo yote imetokea wakati nmemaliza fm6 sasa me nkaona kusoma chuo ni uongo sitaki hayo mambo ndo nkaona ni bora niingie kwenye vyombo vya usalama kama kusoma ntasomaga mbele ya safari uko.

Sasa yeye ndo kajitokeza et me nisomee ualim SERIOUS!!!!
Hahahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oya kaka mkubwa Haina haja ya kufikiria nenda kapige kazi Riziki ni popote tu.
Kuna mitego mingi nimeiweka huu mwezi mzee maana kuna viajira vya kada yangu vilitoka mwishoni mwa mwaka jana so interviews zitakuw huu mwezi...hii ya kuvolunteer nitaenda yote ikishindikana... sijawakatalia hawa ila nimeomba kuanza mwezi ujao ili huu mwezi nichakarike kwanza na hizi full jobs.

Kikubwa tuendelee kusali na kuomba. Mungu anajibu.
 
Kabla ya ajira za upolisi mwaka 2021 nilikuwa na ndugu mkubwa tuu huko juu polisi.... Alinisisitiza kuwa ajira zikitoka nimstue na atalishughulikia!!! Baada ya ajira kutoka nikamstua akichonijibu ni kuwa nitapata tuu bila hata yeye, hakuuliza majina wala kikosi wala ninii akapita hivi.!!!

Mwanzoni mwa mwaka 2022 nikamfahamisha mtu mmoja ambaye sio ndugu wala nini shida yangu ya kutaka kujiunga huko, nae ni polisi na ni mmama... Alisikita sana nimechelewa kumwambia kwani alipewa nafasi tatu na hakuwa na mtu mwenye vigezo ilimbidi azikatae..!!
Lakini aliniambia nisife moyo zikitoka nyingine nimtafute!! Haya sasa zinetoka yeye ndio alianza kwanza kunitafuta, kuniuliza details zote na kuahidi kunishughulikia!! Hadi sasa naona mwanga!!

Huyu mtu ni mtu baki na ameniona mara moja tuu physically..na hapo ni upande wa PT.

The same thing kwa vyombo vingine...

Ndugu bwa kweli sio damu wakuu.. hawa ndugu wa damu ukitoa wazazi mara nyingibwao tuu ndio wanapenda kuwa juu!!
comment ya mwaka hii
 
I am certain boss...kama mambo yakienda kama yalivyopangwa basi kuanzia tarehe za mapinduzi pale wataita...sema walioomba ni wengi kinoma kama hauna connection kuitwa kwenye interview basi uwe umewatimizia kila walichoomba...naambiwa wengi hawajaweka leaving certifiates wanawatema...
Mamaee ova

One man down ova
I Get you Bravo ova
 
I am certain boss...kama mambo yakienda kama yalivyopangwa basi kuanzia tarehe za mapinduzi pale wataita...sema walioomba ni wengi kinoma kama hauna connection kuitwa kwenye interview basi uwe umewatimizia kila walichoomba...naambiwa wengi hawajaweka leaving certificates wanawatema...
TUMEKWISHAA🙌🙌🙌😢😳😳😳 Leaving????
 
Back
Top Bottom