bubex_jr
Senior Member
- Dec 28, 2022
- 113
- 83
Upo chomboni tayar au bado una seek?Wewe ume join 28/12/2022 !!! Huna uzoefu na izi shoo si ndo tunaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo chomboni tayar au bado una seek?Wewe ume join 28/12/2022 !!! Huna uzoefu na izi shoo si ndo tunaelewa
Kusumbua hyo ni lazma maana mtu anakua na wasiwasi sanaKaambiwa asiwe anamtafuta sana /kumpigia sana kwa simu mana kuna muda jamaa alikuwa anamsumbua Sana huyo jamaa
Sema watu wanazidiana kete hata yeye huyo mbanga anawakubwa zake hahahahammae watu wanamibuyu
Ni kweliH
Halafu kuna mtu niliwahi kusikia humu anadai wazanzibari huwa wanapewa nafasi nyingi mule sijajua lina ukweli gani
Kaka mbna kama huyo jamaa alieambiwa afanye mazoezi ni wewe kabisa 😀😀Kaambiwa asiwe anamtafuta sana /kumpigia sana kwa simu mana kuna muda jamaa alikuwa anamsumbua Sana huyo jamaa
lazima tuwasumbue sasa. mana toa huyu weka huyu ndio sasa!Kaambiwa asiwe anamtafuta sana /kumpigia sana kwa simu mana kuna muda jamaa alikuwa anamsumbua Sana huyo jamaa
Usumbufu wake ndio umemlipa sasa. Ukimpata mkubwa msumbue haswa na ili asipate usumbufu kwako basi itabdi tu akutaftie nafasi.Kaambiwa asiwe anamtafuta sana /kumpigia sana kwa simu mana kuna muda jamaa alikuwa anamsumbua Sana huyo jamaa
Unamsumbua mpaka anaelewa somo..😀Usumbufu wake ndio umemlipa sasa. Ukimpata mkubwa msumbue haswa na ili asipate usumbufu kwako basi itabdi tu akutaftie nafasi.
Mhhh hata hataki kuamini Bado hadi pdf itoke walau hahahahAanze jogging atengeneze pumzi taratibu
mkuu nilisema safari hii haujaja kizembe ,hyo aliyepewa confirmation ya nafasi najua ni weweSema watu wanazidiana kete hata yeye huyo mbanga anawakubwa zake hahah
Mhhh kaka ningeshaanza tizi na ningewatonyaKaka mbna kama huyo jamaa alieambiwa afanye mazoezi ni wewe kabisa 😀😀
Broh siyo mimi mbna ni mshikaji wangu tena nilimfanyia maombi kupitia simu yangumkuu nilisema safari hii haujaja kizembe ,hyo aliyepewa confirmation ya nafasi najua ni wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me ningepata connection ya uhakika,au pdf la mwisho lisome nge nipo ndani najua nishapewa lonja na kina dystonia kwaiyo ni mwendo wa mabio tu tena napiga route ndefu kitaa hadi amboni/mombasa road hahaahah
Tukutane CCP ama BomaBroh siyo mimi mbna ni mshikaji wangu tena nilimfanyia maombi kupitia simu yangu
Here we goTukutane CCP ama Boma
hutaki tizi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi UT napo kuna mabio kama ya PT?
Tizi ni muhimu mkuu, hata kwenye maisha ya kawaidahutaki tizi mkuu
InshallahBless us jah tutoke mtaani
tuje tubadili status za maskani
life la moto siutani, kuna kucha si lunch sio dinner hzipatikani