Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Umeongea Sana kisiasa, punguza jazba hili jeshi ni letu halipaswi kuchukiwa bali linatakiwa tulibadilishe siye ,na viongozi wetu ni waku heshimiwa haijalishi wamepita elimu ya namna gani hadi walipo
Common sense inahitajika hata kama hujasoma ,ina maana hicho kichwa alichokupa Mungu limebeba nini humo ? Na mtu umewekwa kuwa RPC au inspector halafu unaongea utumbo kama wa yule wa Kule Tarime si bora uwe constable Tu uende lindo huko ,ni embarrassment ya ovyo sana na ndio maana jeshi la polisi linadharaulika kila kukicha.
Mabadiliko makubwa yanatakiwa humo jeshi la polisi .
 
Punguza tena chuki na hasira Mzee umepanic sana, na yaliyo moyoni mwako ni zaidi ya hiyo kauli ya RPC unayoitolea mfano, kunywa maji ya kutosha shusha pumzi kwanza
 
Mtu anadhani mwalimu hadi waandike 'mwalimu' au 'teacher'
30 na 31, wote hao ni walimu!!

Mkurupokobunafanya ntu uonekane una chuki binafsi!!![emoji16]
 
Back
Top Bottom