mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
mkuu kanali mtu mkubwa sana. hta wakuu wengi wa vikosi vya JKT huwa ni ma kanali/luteni kanaliHivi kamanda level ya Kanali anaweza kusaidia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kanali mtu mkubwa sana. hta wakuu wengi wa vikosi vya JKT huwa ni ma kanali/luteni kanaliHivi kamanda level ya Kanali anaweza kusaidia ?
Usijali mkuu tupo pamoja,ameen mungu atajaaliaAloo Xmonster nakuombea upate asee ... Kama wangekuwa Wana recruit kisirisiri kutoka jf wangesha kuchukua mzee
Hao huwa wanatoa kupitia utumishi mkuu,post kibao mwaka jana walitoa kama 500+ hvi,plus Security Guards-TFSYaani ,inakatisha tamaa kabisa Tawa ,Ngorongoro Ncca ,Tanapa wakuu mtupe majibu link na nyinyi mtatoa nafasi za ajira kwa watanzania vijana wazalendo waliopitia kozi za uhifadhi ktk vyuo vya mweka na pasiansi na ambao ni jeshi usu kwa sasa kwa taasisi zote za kiuhifadhi
daah mkuu tuna activate ma afande wazidi kutoa lonja"Lonja kalii sana" in mfwende accent
Tayari kakwea pipa kiazi huyu hapa nataka nimwambie mke wake kuhusu michepuko ya jamaaJamaa wa ikulu umeonana nae tena, au asha kwea pipa tayari
Kaz za utumishi wanazingua sanaHao huwa wanatoa kupitia utumishi mkuu,post kibao mwaka jana walitoa kama 500+ hvi,plus Security Guards-TFS
chanzo nasikia hawa hata maslai yao wanadai kupitia tucta, Mei mosi inawahusu pia. tofauti na majeshi mengine so kama unataka maliasili jiandae na usahili miyeyusho wa utumishi.Kaz za utumishi wanazingua sana
Kanal ni cheo kikubwa saana ona mpangilioHivi kamanda level ya Kanali anaweza kusaidia ?
Wakubwa wa vikosi mara nyingi huwa niWengi ndo wanakuaga wakubwa wa vikosi.. vya JKT. Kama sijakosea
Hapana zile nafasi hazifiki hata 100Hao huwa wanatoa kupitia utumishi mkuu,post kibao mwaka jana walitoa kama 500+ hvi,plus Security Guards-TFS
TFS security guards pekee zilikua 50, hao wengine walitoa post ngapi mkuu?Hapana zile nafasi hazifiki hata 100
Nitajie hicho kikosi ambacho mkuu wake wa kikosi ni luten, hata kimoja tu ndugu.Wakubwa wa vikosi mara nyingi huwa ni
1.captain
2.Luten
Ni ngumu saana kumkuta kanal ni mkuu wa JKT kumbuka mikoa mingi haina brigedia general
Mfano mkoa wa kigoma mwanajeshi mwenye cheo kikubwa mkoa mzima ni kanali ambae anaripoti FARU tabora
Kanal wa kigoma Risasi 70 anapata shabaha zote
jamaa wa ikulu,hapa kachemkaNitajie hicho kikosi ambacho mkuu wake wa kikosi ni luten, hata kimoja tu ndugu.
Ndio mtu nilikua namtegemea kwa lonja za uhakika...jamaa wa ikulu,hapa kachemka
ngoja aje na facts kesho ,tumsikie na yeyeNdio mtu nilikua namtegemea kwa lonja za uhakika...
Kumbe hata hafahamu luteni ni nyota 2 ...Pale TMA wako wengi sana maluteni maana nyota ya pili huwa inakucommissioned baada ya muda mfupi tu
Ndio maana ,nikakwambia zile nafasi hazifiki hata mia tofauti na ahadi na kibali cha kuajiri kilichotolewaTFS security guards pekee zilikua 50, hao wengine walitoa post ngapi mkuu?
Utumishi miyayusho Sanachanzo nasikia hawa hata maslai yao wanadai kupitia tucta, Mei mosi inawahusu pia. tofauti na majeshi mengine so kama unataka maliasili jiandae na usahili miyeyusho wa utumishi.