Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Rais atakosa kote ila hajawahi kukosa Monduli mkuu hata akibanwa na ratiba mahafali yatasubiri hadi awe free aende kwenye mahafali

Kiprotocol nyota moja ya JWTZ si sawa na nyota moja ya polisi, hivi unafahamu mwanajeshi kuanzia nyota moja akitenda kosa uraiani, anatakiwa akamatwe na polisi kuanzia cheo gani

Na je hujiulizi kwanini traffic police huwa hawawazingui wanajeshi wanaovunja sheria barabarani wanawaacha tu
Ni maelekezo:askari wa jeshi lolote akiwa na unifomu au akijitambulisha kuwa ni afisa wa jeshi fulani basi anatakiwa kutupiwa taulo hata kama amefanya kosa la barabarani.
 
Yaani ASP ampigie salute First Lieutenant wa JWTZ. Unapotosha hapa ndugu.
Kama upo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama basi haujafundishwa vyema. Kama haupo basi ukipata nafasi ya kuingia hata huku PT utafundishwa.

You are very right kuwa maofisa wa jeshi wanakuwa commissioned na Raisi kwa sababu hio ipo kisheria nadhan lakini haifanyi kuwa luteni usu apigiwe salute ASP au SP au SSP or even IP.

Vyeo katika majeshi yote ndan ya Tz vinashabihiana ingawa majina tu ndio yanatofautiana...JW mwenye cheo cha Major, PT ataitwa Superintendent of Police, UT ataitwa Superintendent of Immigration, MT ataitwa Superintendent of Prison...n so on...hawa wote basically wana cheo kimoja ila kwenye majeshi tofauti.

Conclusively; Kiutaratibu Askari yeyote kwa polisi kuanzia A/INS na JWTZ, kuanzia luten usu, kwenda juu wote wanapigiwa salute!!
Ila Nan wa kumpigia mwenzake wakikutana ni suala la cheo Nan anamzidi mwenzake no matter ni Askari wa jeshi gan.

Hivyo jwtz anaweza piga kwa MAGEREZA au polis kwa jwtz au vyovyote vile ila anayepigiwa ni mwenye cheo kikubwa zaidi.
Muelekeze huyo PGO 102 sijui 104 kama sijakosea imeelekeza vizuri tu swala la saluti,hawajesema eti nyota moja wa jw ni mkubwa kuliko inspector.Saluti itapigwa kwa kuzingatia seniority ya cheo.
 
Haha eti kamuulize Magufuli daah sawa mkuu

Haya majeshi yana seniority lakini

Yani kumfananisha nyota tatu wa JWTZ na nyota tatu wa PT, UT, MT na ZT tunadanganyana asee
Kuhusu comparison ya captain na superintendent of police case ndogo tu wote wananyota tatu ila vyombo tofauti hapa captain atakuwa senior sababu ni kwamba yeye anabebwa na u senior wa jwtz kuwa ndo jeshi mama katika nchi yetu
[emoji847]Ila hili la luten usu kupigiwa saruti na superintendent of police hapana kwakweli msidanganyane ndugu zangu
 
Back
Top Bottom