Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Madogo vikosini wametumiwa majina watakaoingia kwenye usaili halafu nyie mnabishana hapa na hii ni baadhi ya kambi na pia yanaendelea kutumwa maana kuna vikosi bado hawajapata hizo pdf.
Note: Mwaka huu chaguo la kwanza au wingi wa watu watatoka vikosini na chaguo la pili watatoka mtaani hii kwa sababu wakuu wa vyombo walikaa na kuona sio sawa kwa kinachofanyika yani mtu yupo kikosini anasubiri ajira halafu raia yeye ana mishe zake huko nje au hakuona umuhimu wa kuingia jeshini na yeye anataka nafasi kwa hiyo nachokiona wale wenye madegree wengi ndo watatoka uraiani.
 
Chief hii huwa ni siku zote mbona..vikosini ndio huwa wanachukuliwa wengi
 
Madogo vikosini wametumiwa majina watakaoingia kwenye usaili halafu nyie mnabishana hapa na hii ni baadhi ya kambi na pia yanaendelea kutumwa maana kuna vikosi bado hawajapata hizo pdf.
Note: Mwaka huu chaguo la kwanza au wingi wa watu watatoka vikosini na chaguo la pili watatoka mtaani hii kwa sababu wakuu wa vyombo walikaa na kuona sio sawa kwa kinachofanyika yani mtu yupo kikosini anasubiri ajira halafu raia yeye ana mishe zake huko nje au hakuona umuhimu wa kuingia jeshini na yeye anataka nafasi kwa hiyo nachokiona wale wenye madegree wengi ndo watatoka uraiani.
Ajira utapata popote tu hata hao wa mtaani walikuwa vikosini .

Bado kuna ile mikoa hakuna kambi za jkt na hapo utasemaje

Kama upo kikosini jua tu ushindani ni mkubwa wakiwaambia watawafanyia fair wanawadanganya wenzenu hapo majuzi wamemaliza mkataba wamerudi nyumbani hao ilibidi waonewe huruma ila ndio hivyo ajira haziko hivyo ,bado kuna na mujibu wa sheria bado op nyingine za nyuma kazi ipo .
 
Bado wa mifumo mtu Ana ambiwa wew pata namba tu ya jakata[emoji3]
 
Madogo vikosini wametumiwa majina watakaoingia kwenye usaili halafu nyie mnabishana hapa na hii ni baadhi ya kambi na pia yanaendelea kutumwa maana kuna vikosi bado hawajapata hizo pdf.
Note: Mwaka huu chaguo la kwanza au wingi wa watu watatoka vikosini na chaguo la pili watatoka mtaani hii kwa sababu wakuu wa vyombo walikaa na kuona sio sawa kwa kinachofanyika yani mtu yupo kikosini anasubiri ajira halafu raia yeye ana mishe zake huko nje au hakuona umuhimu wa kuingia jeshini na yeye anataka nafasi kwa hiyo nachokiona wale wenye madegree wengi ndo watatoka uraiani.
Hiki wanachofanya wanakosea sana, wakumbuke kuna watu wamekaa huko vikosini wamejitolea kwa miaka kadhaa ila walinyimwa ajira wakarudishwa mitaani, leo hii wanaonekana hawafai eti hawakuona umuhimu wa jeshi na wanafanya mishe zao mitaani haiko fair
 
Hizi ni story tu wala si kweli hata sisi tukiwa kambini tulikuwa tunahadithiana na kupeana moyo tutachuliwa wengi enzi hizo. Naona bado zinaendelea ..mpka leo
 
Back
Top Bottom