mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
mkuu hilo ni swala la kibajeti, omba munguMm nilivokusudia yaan kuja intake nyengine 2024 cyo ya kuingiza watu jee watarudi kuja na intake nyengine??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hilo ni swala la kibajeti, omba munguMm nilivokusudia yaan kuja intake nyengine 2024 cyo ya kuingiza watu jee watarudi kuja na intake nyengine??
Bora mkae kimya na Lonja zenu hizi manake Kila mkipiga ramli olaah, hamna PDFWiki linaloanza kesho PDF inaweza achiwa kama sio PTbasi UT
Jitahidi kusoma kwa kutulia mzee.Bora mkae kimya na Lonja zenu hizi manake Kila mkipiga ramli olaah, hamna PDF
Mnaingizwa Chaka sana na hizo lonjaJitahidi kusoma kwa kutulia mzee.
Mnaingizwa Chaka sana na hizo lonja
Kaka tupe za jikonishusheni lonja wakuu
Zilizopikwa😅Kaka tupe za jikoni
hahaa afsa leo sina mwana UT mwenzanguKaka tupe za jikoni
Chief hii huwa ni siku zote mbona..vikosini ndio huwa wanachukuliwa wengiMadogo vikosini wametumiwa majina watakaoingia kwenye usaili halafu nyie mnabishana hapa na hii ni baadhi ya kambi na pia yanaendelea kutumwa maana kuna vikosi bado hawajapata hizo pdf.
Note: Mwaka huu chaguo la kwanza au wingi wa watu watatoka vikosini na chaguo la pili watatoka mtaani hii kwa sababu wakuu wa vyombo walikaa na kuona sio sawa kwa kinachofanyika yani mtu yupo kikosini anasubiri ajira halafu raia yeye ana mishe zake huko nje au hakuona umuhimu wa kuingia jeshini na yeye anataka nafasi kwa hiyo nachokiona wale wenye madegree wengi ndo watatoka uraiani.
Ajira utapata popote tu hata hao wa mtaani walikuwa vikosini .Madogo vikosini wametumiwa majina watakaoingia kwenye usaili halafu nyie mnabishana hapa na hii ni baadhi ya kambi na pia yanaendelea kutumwa maana kuna vikosi bado hawajapata hizo pdf.
Note: Mwaka huu chaguo la kwanza au wingi wa watu watatoka vikosini na chaguo la pili watatoka mtaani hii kwa sababu wakuu wa vyombo walikaa na kuona sio sawa kwa kinachofanyika yani mtu yupo kikosini anasubiri ajira halafu raia yeye ana mishe zake huko nje au hakuona umuhimu wa kuingia jeshini na yeye anataka nafasi kwa hiyo nachokiona wale wenye madegree wengi ndo watatoka uraiani.
Bado wa mifumo mtu Ana ambiwa wew pata namba tu ya jakata[emoji3]Ajira utapata popote tu hata hao wa mtaani walikuwa vikosini .
Bado kuna ile mikoa hakuna kambi za jkt na hapo utasemaje
Kama upo kikosini jua tu ushindani ni mkubwa wakiwaambia watawafanyia fair wanawadanganya wenzenu hapo majuzi wamemaliza mkataba wamerudi nyumbani hao ilibidi waonewe huruma ila ndio hivyo ajira haziko hivyo ,bado kuna na mujibu wa sheria bado op nyingine za nyuma kazi ipo .
Hiki wanachofanya wanakosea sana, wakumbuke kuna watu wamekaa huko vikosini wamejitolea kwa miaka kadhaa ila walinyimwa ajira wakarudishwa mitaani, leo hii wanaonekana hawafai eti hawakuona umuhimu wa jeshi na wanafanya mishe zao mitaani haiko fairMadogo vikosini wametumiwa majina watakaoingia kwenye usaili halafu nyie mnabishana hapa na hii ni baadhi ya kambi na pia yanaendelea kutumwa maana kuna vikosi bado hawajapata hizo pdf.
Note: Mwaka huu chaguo la kwanza au wingi wa watu watatoka vikosini na chaguo la pili watatoka mtaani hii kwa sababu wakuu wa vyombo walikaa na kuona sio sawa kwa kinachofanyika yani mtu yupo kikosini anasubiri ajira halafu raia yeye ana mishe zake huko nje au hakuona umuhimu wa kuingia jeshini na yeye anataka nafasi kwa hiyo nachokiona wale wenye madegree wengi ndo watatoka uraiani.
Na hao wengi tunasema ni kwa vile tunapima kwa mkoa ukiwa na hizi kambi .Chief hii huwa ni siku zote mbona..vikosini ndio huwa wanachukuliwa wengi
[emoji16][emoji16] na force namba wakipewa wiki inayofuata kazi ipo hapoBado wa mifumo mtu Ana ambiwa wew pata namba tu ya jakata[emoji3]
Hahaha kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba Yake mtu Ana ambiwa komaa upate force namba tu[emoji16][emoji16] na force namba wakipewa wiki inayofuata kazi ipo hapo
Hizi ni story tu wala si kweli hata sisi tukiwa kambini tulikuwa tunahadithiana na kupeana moyo tutachuliwa wengi enzi hizo. Naona bado zinaendelea ..mpka leoHiki wanachofanya wanakosea sana, wakumbuke kuna watu wamekaa huko vikosini wamejitolea kwa miaka kadhaa ila walinyimwa ajira wakarudishwa mitaani, leo hii wanaonekana hawafai eti hawakuona umuhimu wa jeshi na wanafanya mishe zao mitaani haiko fair
Haya maisha haya upo unamsimamia kuruta amwagilie jioni kwenye kombania jina lake linasomwa [emoji16]Hahaha kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba Yake mtu Ana ambiwa komaa upate force namba tu
Hahaha utajua hujui watu Wana mifumoHaya maisha haya upo unamsimamia kuruta amwagilie jioni kwenye kombania jina lake linasomwa [emoji16]