Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Maisha ni kama zero, Ulipo anzia ndipo unaweza ishia, ikiwa kama hautakua makini na Mipango yako, Zero to zero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi kaka mambo lazma uyatengenezeConnection na mibuyu haitokei tu ni matter of kutengeneza mazingira....ishi na watu vizuri
Hahaha jamaa wa ikulu bhnaNENDA TENA KIMBIA
Connection na mibuyu haitokei tu ni matter of kutengeneza mazingira....ishi na watu vizuri
mbona kila kambi washafanyaUsaili unafanyika huko?
[emoji23][emoji23][emoji23] Tunawaacha tu kwa mudaduh kukimbiwa na demu sasa kumefika, michongo haitiki aiseeh
Njoo Mbweni mkuu shuka kituo kinaitwa Getini, huo ukuta mweupe utakaouona mbele yako utakuwa umefika, nenda kawagongee tu pale getini waeleze shida yako watakusaidia ama sogea Makumbusho pale [emoji3][emoji3]Naomba connection ya Tiss mkuu
Sisi ndio wale kuna mchongo nausikilizia alafu mchongo wenyewe Ndio tumekula peresu peresuduh kukimbiwa na demu sasa kumefika, michongo haitiki aiseeh
Leta hapaut wametema wakuu
Nimeliwa kichwahii hapa
champ nakuja pmNimeliwa kichwa
Hii ni mpya ya UT?hii hapa
yaah wametema UTHii ni mpya ya UT?