Maulidi guga
Member
- Apr 13, 2020
- 14
- 16
Hivi was mkoani ndo wanenda checking majina kwenye mkoa walio ombea sio. ?Hao uhamiaji wagumu sana polisi wamewaita mpka 2015 kwenye usaili ngazi ya mkoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi was mkoani ndo wanenda checking majina kwenye mkoa walio ombea sio. ?Hao uhamiaji wagumu sana polisi wamewaita mpka 2015 kwenye usaili ngazi ya mkoa
Pole ukiweka mawazo ya kuajiriwa kwenye hivi vyombo utazeeka homeView attachment 2485421
Tazama venye UHAMIAJI wamenifanya,
JaribuDah unatupa moyo ase cjui tuende tu hata hatupo kwenye list
yaah mkuuHongera mkuu uhamiaji sio
Kwa mikoa ya Dsm naona wamebandika majinaHivi was mkoani ndo wanenda checking majina kwenye mkoa walio ombea sio. ?
Mikoa mwingine wametuma SMS kama SingidaKwa mikoa ya Dsm naona wamebandika majina
Kila la kheri kaka najua mwakani ukimaliza kozi utanisaidia kupata passport nikajaribu life nje ya nchi.nipo mkuu
NdioHivi was mkoani ndo wanenda checking majina kwenye mkoa walio ombea sio. ?
Dua tu champ, bless up familyKila la kheri kaka najua mwakani ukimaliza kozi utanisaidia kupata passport nikajaribu life nje ya nchi.
KILA LA KHERI MAKAMANDA WOOTE MLIOITWA KWENYE SAHILI MWENYEZI ATAKUWA NANYI MTATOBOA.
hongera mkuuNimepigiwa simu PT Tabora wakuu,
Naambiwa tarehe 24 niende kwenye usahili
TUpeane hints
Hiv kwasisi form 4 , usaili huwa unahusisha vitu gani haswa??hongera mkuu
sijawahi piga sahili zao luteniHiv kwasisi form 4 , usaili huwa unahusisha vitu gani haswa??
Daa CCP na UT NIMEPIGWA SUGUNYO KALI SANA,
NAKUWA MWANACHAMA WA UTUMISHI RASMI. NAAMINI HUKU NITACHOMOKA TU BILA MBUYU.
MSULI KAZI
Kama una midevu na minywele mingi nyoa, nenda ukiwa smart, jua mambo ya polisi kidogo kama vyeo vya polisi,kamisheni za polisi, majina ya ma IGP, kazi mama za polisi. Ila uwe na jibu la hili swali pia " Kwa nini wakuajiri wewe kuingia ndani ya jeshi la polisi"HIVI KWA FORM 4, SAILI ZAO HUWA INAHUSISHA VITU KAMA VIPI WAKUU?.msaada wenu tafadhali.