Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Yeah hii nayo muhimuUHakika na kupiganisha pia kunasaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah hii nayo muhimuUHakika na kupiganisha pia kunasaidia
jah atablesi tu mkuungumu kweli so masiala,wangu mimi mwishoni aliamua t aolewe ..kaona uyu jamaa kaumbiwa kukosa t awez kutoboa
Kumbe kwenu Singida?jah atablesi tu mkuu
yaah mkuuKumbe kwenu Singida?
Home boy kbsayaah mkuu
pamoja luteni, tuendeleze mapambanoHome boy kbsa
Bado jamaa wa ikuru anazingua
Mtafute P 88657.. atakusaidia...Bado jamaa wa ikuru anazingua
Unamuombea kwa mungu ?mfwende ulinitukana Sana, mi nakuombea usipate iyo kazi ya uhamiaji. Ubaki kitaa, ujifunze nidhamu.
Duh mpka Leo unauliza watu wameitwa usaili na tayarii usaili umeshafanyika PT boji la kwanza na uhamiaji tayari usailiWakuu vp kwema, hv kuna watu wameitwa usaili wa pt au ut na hawana leaving certificate, na form ya medical doctor...???
Kuna watu hawana hadi cheti cha JKT na wamefanya usaili UTWakuu vp kwema, hv kuna watu wameitwa usaili wa pt au ut na hawana leaving certificate, na form ya medical doctor...???
Daah haya maisha mzani umeeelekea upande mmojaKuna watu hawana hadi cheti cha JKT na wamefanya usaili UT
Kuna watu hawana hadi cheti cha JKT na wamefanya usaili UT
so sad champ,vyakula bei ya gari saiziMaisha huku mtaani ni makali Sana ndugu zangu nimetoka piga kazi ngumu apa hela imeisha kwenye kula tu daah
Mkuu mbona nafahamu hayo..kuhusu usaili....nimeuliza hayo mengine ili nijue tuDuh mpka Leo unauliza watu wameitwa usaili na tayarii usaili umeshafanyika PT boji la kwanza na uhamiaji tayari usaili
Hakuna kitu kama hicho hizo story za mtaani tuKuna watu hawana hadi cheti cha JKT na wamefanya usaili UT