Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI TUNASIKILIZIA POST ZA POLISI NA UHAMIAJI [emoji116]

1. Kunywa Maji ya kutosha, usipende vitu vya sukari (Soda/Juice) ikibidi ufanye dilution kwa ajili ya kupunguza BLOOD PRESSURE.

2. Fanya mazoezi ya kukimbia kwa ajili ya Stamina za miguuni ili uwe sawa.

3. Fanya mazoezi ya Mikono kwa ajili ya kujiandaa na PUSHUP, ili kuongeza nguvu za mikononi.


ALL THE BEST Comrades.
Boy una uhakika nini 100% sio ?
Mtegemee Allah na umuombe sana
Maana mambo ni Mengi in between the journey.

Nyie Kwa Sasa pumzikeni tu
Tumazoezi zoezi kidogo twa vipushapu, kukimbilia kidogo, misosi mizuri kulala. Tulia ww, Tunza Damu. Taifa linakutaka kesho uje kulitumukia na Ndugu zako.

Goma likiwaka limewaka
Mbona nyie wenyewe mtaelewa na mtakubali.
Sifa ni
Morali ya Hali ya Juu.
Nidhamu nzuri , Mhuni na mbabaishaji , They gotta no rooms there.
Uvumilivu , uvumilivu kweli (Mwili, Moyo na Mapafu)
Ushirikiano Kwa ujumla.
Mzigo ukianza umeisha, fanya kazi za watu.
Mmeomba Kazi kazini nendeni mkalize.
Imeisha hiyo.
 
Umeiva chief
Boy una uhakika nini 100% sio ?
Mtegemee Allah na umuombe sana
Maana mambo ni Mengi in between The (Trainings).

Nyie Kwa Sasa pumzikeni tu
Tumazoezi zoezi kidogo twa vipushapu, kukimbilia kidogo, misosi mizuri kulala. Tulia ww, Tunza Damu. Taifa linakutaka kesho uje kulitumukia na Ndugu zako.

Goma likiwaka limewaka
Mbona nyie wenyewe mtaelewa na mtakubali.
Sifa ni
Morali ya Hali ya Juu.
Nidhamu nzuri , Mhuni na mbabaishaji , They gotta no rooms there.
Uvumilivu , uvumilivu kweli (Mwili, Moyo na Mapafu)
Ushirikiano Kwa ujumla.
Mzigo ukianza umeisha, fanya kazi za watu.
Mmeomba Kazi kazini nendeni mkalize.
Imeisha hiyo.
 
I fight
I lost


Ni muda wa kupigania mishe za mtaa.


MSAADA
Aliepo dar, ningependa kujua utaratibu wa kukata tikeni ya kwenda pemba. Maana kesho nategemea kuingia Hapo Daslamu nasikia kuna vibaka sana huko, sijawahi kufika before.
Kama unahitaji kuenda Pemba urahisi wake pitia Tanga mkuu, nauli Tsh. 25000 tu kuliko DSM inabdi ufike unguja ndio uende Pemba.
 
Tusibishane mzee ila mifumo ipo na kila mtu ana mifumo yake...ikitiki fresh isipotiki unashukuru unaendelea na mingine
Nibishane nawewe nifaidike nini sasa, wewe pambana na ukiipata shortcut shukuru Mungu sio midomo wazi kwenye mitandao mnajiharibia, nimemaliza.
 
Wakuu habari zenu kwema....hv kuna kikosi gani jkt wamefanya usaili wa tpdf makambini...kwa anaejua wakuu
 
Back
Top Bottom