southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
hivi dar kuna kampuni gani nzuri ya ulinzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]naam mambo ya visura..Makamanda nipo unguja muda huu,,,
Ushauri kwa vijana.
Kabla haujaoa jaribu kuzunguka kipande hiki utanishukuru though maflat screen ila wapenda sura nzuri kama mimi panatufaa
Wairaq hao wa ManyaraKabisa ....kuna ile singida inayopakana na Arusha..specie za pale ni kama za kiethiopia...kali kinoma
Duuuuu aseee apo mchuano ni mkali hatariWengi hasa account,maana walikuwa diploma na degree faculty 3,accounting,baking & finance na banking Yani ilikuwa vurugu tu
,hivi dar kuna kampuni gani nzuri ya ulinzi
poaa ngoja nikajaribu na huko ninavyosubir pdf ya PTG4s,SGA &GARDA WORLD Mikocheni mtaa wa mwinyi mkuu
,
Polis ulifanya usaili mkoa upi..?au ulifanya kwa wenye taaluma?poaa ngoja nikajaribu na huko ninavyosubir pdf ya PT
Huyo alishaaga mkuu nafikiri alifanikiwa kuzama magerezaHivi jaman kuna member humu alikua anaitwa mrgeneous mwaka jana alikua active sana kwenye hizi ajira yukwapi??
vipi china Tanzania security wanapatikana wapiG4s,SGA &GARDA WORLD Mikocheni mtaa wa mwinyi mkuu
,
sijajua lutenivipi china Tanzania security wanapatikana wapi
Jamaa anayeimbisha chenja kavaa uniform ya uhamiaji? Au ndo nyingine za PT?Makamanda sifa morali
Kwa ufaham wangu ni UTJamaa anayeimbisha chenja kavaa uniform ya uhamiaji? Au ndo nyingine za PT?
Mkuu kuna ukweli wowote kuhusu hiliHere below View attachment 2508155
Vyovyote .hivi ungekuwa ofsa kule juu ungeweka wengine badala ya ndugu zako wanaotaabika kitaa ajira hamna?Here below View attachment 2508155
wameajiri tyari mkuu?Here below View attachment 2508155
Tuanzie hapo ..akikujibu nitagVyovyote .hivi ungekuwa ofsa kule juu ungeweka wengine badala ya ndugu zako wanaotaabika kitaa ajira hamna?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
kama ni siku ya usahili itakua ni watoto wa vigogo sana,coz kulikua na ukaguzi wa vyeti balaa mpaka kutoka sambili asubuhi mpaka satisa hvii,then ndipo tukaanza paper yao tukiwa hoi. ila kama wapo watajwe kuliko speculations ambazo zitalichafua hii idara nyetiHere below View attachment 2508155